Friday, November 22, 2019

Yafahamu Maajabu Sita ya Limao Ambayo Yatakushangaza..!!!


Limao ni moja ya tunda ambalo linafahamika sana, ni tunda ambalo mara nyingi hutumika zaidi jikoni kwa ajili ya kukata shombo fulani fulani ya baadhi ya mboga mfano samaki.
Kwa kawaida limao huwa na ladha ya uchachu, lakini pamoja na kuwa na ladha hiyo tunda hili limekuwa na faida pia za kiafya.
Yafuatayo ni miongoni mwa matatizo 6 ambayo huweza kudhibitiwa na limao:-
1. Husaidia kuimarisha mfumo wa umeng’enyaji wa chakula
2. Husaidia kupunguza sumu mwilini
3. Hutumika kama njia ya kupunguza uzito
4. Husaidia kupunguza hatari ya mawe kwenye figo
5. Husaidia kuimarisha afya ya ngozi
6. Hupunguza maumivu ya viungo vya mwili hasa joint



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2rgcLhg

No comments:

Post a Comment