Kuendelea kuwa na urafiki kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wako wa zamani (ex wako) ni sawa na kutaka kujua yanayoendelea kwa jirani ambaye huongei nae.
Unapoachwa, unashauriwa sana kupunguza mawasiliano na mwenzi wako wa zamani. Hii ni sababu, kuwa mbali nae, kutakusaidia kumsahau na kusahau maumivu aliyokusababishia.
Lakini swali la kujiuliza mdau wetu, ni kweli kumblock mtu kunakusaidia kuendelea na maisha yako haraka kuliko kuendelea kuwasiliana nae?
Kumblock hakuwezi kukufanya uka mkumbuka zaidi na hivyo kuzidisha maumivu y akutaka kurudiana naye?
Ma ex wengi wanaishia kua marafiki wazuri ambao hufanya mambo makubwa pamoja licha ya mahusiano yao ya kimapenzi kuisha.
Lakini mwisho wa siku, kila mtu ana namna yake ya kuyasolve matatizo yake kwa namna ambayo anaona inafaa.
Hainaanishi waa chuki, hasira au hawahitaji urafiki na ma ex zao bali tu husaidia kuepuka meseji za DM au Messenger na kwingine.
Kama unahofia huruma itakujia, au kuepuka kuumizwa pale watakapotuma posti zao wakiwa na wenzi wao wapay na kukuumiza, ku block si jambo baya.
Nini maoni yako mdau, ni sahihi kublock? Yalishakukuta hayo?
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/34x4aFT
No comments:
Post a Comment