Friday, November 22, 2019

WANAWAKE HAKIKISHENI MNAYAONGELEA MAZURI KUHUSU WAUME MUWAPO NA MASHOGA ZENU!



Umeshawahi kukaa na marafiki zako, ndugu zako na hata Mama yako, mkaanza kumuongelea mume wako, inaweza kuwa ni kwa utani, kwa kulalamika au kwa kuona sifa tu kwakua wenzako nao wanawaponda waume zao! Umeakaa na watu unaanza kuongea tabia mbaya za mume wako, unaanza kuongea mapungufu yake na kumsema vibaya tena mbele ya watu ambao hawatakusaidia chochote.
Unaongelea kuhusiana na Kibamia cha mume wako kana kwamba marafiki zako wanauza matango! Unaongelea jinsi ambavyo mume wako kifuani ni dakika mbili kachoka, unaongea namna ambavyo jasho la mume wako linakukera! Unaongelea jinsi ambavyo mume wako ni mchoyo, unaongea namna ambavyo ana tabia flani mbaya.
Hakuna wakati unakaa na rafiki zako, ndugu zako au wafanyakazi wenzako ukaongea mazuri ya mume wako. Unaongea namna ambayo mume wako hana pesa na kila kitu ni wewe unamsiadia, unachokiwa kujua ni kwamba wewe unaweza kumsamehe mume wako, wewe unaweza kukubali mapungufu yake na kuishi naye hivyo hivyo, lakini ndugu zako, rafiki zako watamchukulia vile ulivyomchafua.
Kila wakikutana wanakutana na kibamia, kila wakisalimiana wanasalimiana na dakika mbili, mchoyo, Malaya, masikini na kila kitu kibaya ulichoongea. Ipo siku mume wako atajua unavyotangaza madhaifu yake na huo ndiyo utakua mwisho wa ndoa ya amani kwenu. Kabla ya kuongea baya la mume wako moja hembu jiulize je huyu ninayemuambia anaweza kunisaidia?
Kama hawezi kukusaidia basi nyamaza kwani hayamhusu? Kila siku unalalamika tu kuhusu ndoa yako na hutoki bado upo? Jiulize unapata faida gani kumshalilisha mume wako? Wenzako wanaokaa kimya si kama hawana matatizo, wanayo mengi ila wanaona huwezi wasaidia wananyamaza. Sisemi uvumilie kupigwa, uzinzi lakini si kila mtu umuambie matatizo yako, waambie wale watu ambao unajua kabisa nikimuambia kitu flani atanisaidia, tofauti na hapo ni umbea tu unafanya!
Wewe unaweza kumsamehe mume wako kwa kuchepuka lakini rafiki zako hawawezi kumsamehe?



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/35ww30N

No comments:

Post a Comment