Thursday, November 28, 2019

Vyakula vya kupika unapopokea ugeni ,Mashemeji ,mawifi na wakwe





Upo kwenye familia na mambo yanakwenda safi na salama lakini mwisho wa mwaka unakaribia ndugu jamaa na marafiki hutembelea familia na maeneno mbalimbali pengine nyumbani kwako panaweza kuwa sehemu nzuri ya kupokea wageni haswa haswa mashemeji na mawifi kutoka sehemu mbalimbali swali sasa ni vyakula gani unaweza kupika kuwafurafisha wageni wako kipindi hiki chenye mfululizo wa sikukuu
1.Pilau

Image result for pilau

Asikuambie mtu hata kama utandawazi umefunika Dunia nzima mtu anaweza kula popote kwa wakati wowote ila mgeni ukipikiwa chakula hiki na mwenyeji wako unakuwa na furaha ya hali ya juu  hivyo ni vyema na vizuri kupika msosi huu unaopendwa zaidi kipindi hiki cha sikukuu
2.Biriani

Recipe: Swahili Chicken Biryani – MumsVillage Kenya – Medium

Hiki ni chakula maalufu zaidi hasa mchana kwa watu wa pwani sasa ukiwapikia mashemeji ambao pengine wanatoka maeneo ya bara utawafurahisha kutokana na radha yake pamoja na mpangilio wa rangi wa chakula hiki
3.Kuku Rosti

Image result for kuku rosti
Sikia wewe rosti sio lazima iliwe kama mboga unaweza ukawapa wageni wako wale ndege huyu anayeheshimika zaidi akipipwa sehemu yoyote ya Afrika tafuta kuku wako wa kienyeji safi roast alafu uone sifa zitakavyo tililika kwako amini

4.Nyama Rosti (Mbuzi/Ng’ombe)
Tunarudi kulekule nyama ni nyama tu wageni wengi wanapenda chakula watakacho kikumbuka kwa muda mrefu basi radha ya rosti ni kila kitu kwenye meza yako ya wageni
5.Ugali
Image result for ugali eating competition

Wanaopenda ugali ni kutokana na aina ya mboga hakukisha ukipika ugali unakuwa na mboga nzuri yenye radha mujarabu na kitowozeo yaan hapa swala la mboga nane usilisahau sio ugali tu na mboga moja utawaudhi wageni wako maan Ugali ni chakula kinachokiwa kila siku na watu wenye uwezo wa aina yoyote nchini


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2spHzg1

No comments:

Post a Comment