Nilipokea simu ya zainabu,
"Hallow..,,,....
"Mh!!! Swty utarudi lini?.
"Leo leo kwani vp?
"Mimi nitarudi kesho,,
"Sawa,,
"Sasa yule mdogo wangu anakuja leo utampa funguo za kile chumba cha tatu kutoka bafuni mana si unajua watoto wa chuo lazima wakapate sehemu tulivu,
"Sawa,
"Haya kazi njema swty,,
"Sawa na wewe wasalimie huko,,
"Aya kwaheri ila leo nitakumisije,
"Hata mimi pia,,
"Izzo please ni kiss basii,,,
Moyo ulipiga pwaaaa kisha nikakata simu,,
"Izzochapa nasikia unasema unarudi leo?
"Ndio,,
"Mh!!!!.. kwanini?.
"Kuna kazi ya kufanya huko,,
"Nyumba ulipata?.
"Bado,,
"Izzo tafuta nyumba bwana nikija nataka tuishi wote,,
"Sawa nitalifanyia kazi vicky,,
"Sawa mpenzi wangu ila kuondoka leo sijaafiki kabisa,,
"Nina kazi kule vicky,,
"Sawa kama ni hivyo ila nakupenda sana Izzochapa,,
"Hata mimi nakupenda pia vicky,,
Gafla mlio wa sms ulisikika kwenye simu yangu kuangalia alikuwa ni zainabu ametuma sms,,
*Izzochapa ikifikia hapo tu unanikela kabisa ina maana hata kunibusu tu umeshindwa? Au uko na malaya zako?.*
Nilihisi kupagawa kwani sms ya zainabu ilinishitua nikahisi kuchanganyikiwa kwani sikuwahi kusikia kauli kali kama hizo kutoka kwake,,
Nilimjibu,,
*asante kwa kuniita malaya mimi ni malaya sawa nashukuru hongera kwa kunipa vyeo*
Na yeye alijibu,,
*lazima nikwambie ukweli hata ukikasilika*
Nikamjibu zainabu
*basi tafuta ambaye siyo malaya uishi naye mimi malaya niache na umalaya wangu*
Akanijibu...,,,
*sawa kama umeamuwa hivyo*
Nikamjibu,,,...
*sawa kwaheli ya kuonana*
Vicky
Izzochapa mbona uko bize na kuchart?.
"Kuna watu nawaelekeza kazi,,
"Sawa, ila twende tukale kwanza,,
"Sawa,
Tulishuka tukakaa kula chakula wakati tunakula nikapokea sms ya shamsa,,
SHAMSA
Swty naumwa najisikia vibaya,,...,,
"Tatizo nini tena?..
"Tumbo mpenzi wangu,,
"Ok ngoja nakuja na ndege ya saa kumi,,
"Sawa ila siko sawa naumwa sana Izzochapa,,
"Ok, nakuja..,,,
VICKY
Kuna nini Izzochapa?
"Dada yangu yuko hoi alikuja pale nyumbani ana kama siku tano,,
"Mh!!.. si umwambie aende hospital,,
"Ni mgeni na kiswahili chake siyo kizuri,,
"Pole sana Izzochapa sasa twende airport uangalie utaratibu wa kuwahi,,
"Sawa,,
Tulinyanyuka na kuanza kwenda airport, saa kumi niliingia kwenye pipa mpaka dar es salaam,
Nilipofika nilichukua pikipiki moja kwa moja kuelekea nyumbani kujua shamsa anasumbuliwa na nini?.
Nikiwa magomeni nikapokea simu ya mtu nisiye mjua,,
"Hallow fanya upesi unahitajika kwako hapa,,
"Sawa niko njiani,,
"Dereva ongeza mwendo basi,,
"Sawa kaka haina shida,,
Roho ilikuwa ina dunda kama kitenesi,,
Nilifika nyumbani ila nilichokiona sikuamini macho yangu nilikuta kuna mwili wa mtu umefunikwa shuka huku shuka imelowa damu, nini niiini niiini,,
************Itaendelea************
episode 2 sehemu ya 7
"Jamaniii kuna nini ni nii niniiii???..
Mjumbe wa nyumba kumi aliniangalia usoni kisha akatikisa kichwa,,
"Mjumbe kuna nini???...
"Ni makubwa kijana wangu ila hiki unachoona mbele yako ni mwili wa mkeo,,
Unasemaje?. " ni mwili wa mkeo, "kapatwa na nini?. "H!!!... ni kwamba leo mida ya saa tano hivi kama sikosei inadaiwa walikuja wageni hapa watatu kumtembelea mkeo mmoja akiwa ni wa kike baada ya kuingia ndani nazani ndio waliofanya uharifu huu,,, "aaahhhh!!!! Shamsa ina maana ndoto zangu zimezimika za kuoana na wewe?.
Niliusogelea mwili wa shamsa nikaufunua ili kuhakiki na kweli nilikutana na sura ya shamsa akiwa amefumba macho kama amelala vile,, "Shamsa kama hujafa si uamke basii shamsa😩😩amka mamaa amkaaa sweety aaah!!! Mbona hukuniagaa shamsa shamsaaaa aaa!!!! aaaa!!! Uuuu!!!....😫😫mamaaa shamsa unaniachajeee mimiii jamaniii amkaaaa!!!... amkaaaa mamaaa eehh!!!!!! Kweliiiii umeendaaaa!!!!....
Nililia sana kwani wanawake wote yeye nilimpenda kwa dhati kwani wengine niliwapendea pesa tu wa pili niliyempenda alikuwa ni zainabu nikiwa naomboleza pale chini nilishituka kusikia sauti ikilia huku ikiita,,,
"Mke wanguuu shamsaa,, niligeuka kumuangalia muitaji wa lile neno nikakutana uso kwa uso na Gefy alikuwa Gefy yule yule niliyemnyanganya Eliza tena kwa kashifa sana kumbe alikuwa ni mume wa shamsa alitelekeza sh amsa na kuwa na eliza baadae na mimi nikampindua kwa kumchukua Eliza nilipoonana naye nilikumbuka nyuma sana nikakumbuka maneno haya,, *samahani broo we ni nani?
*unaniuliza kama nani?
*kama mwenye nyumba,,...,,,
*kama mwenye nyumba unadai kodi?.
*kaka kuwa na heshima unajibishana na mimi kama nani?..
*kama mume wa Eliza, Gefy alitoa macho kama kakabwaa,, Eliza ajaingilia kati,,
*haya mwenye nyumba sema unadai kodi? Mwenye mke anauliza?
Baada ya kumaliza kukumbuka hayo nilimuangalia Gefy tena nikawaza *ina maana kumbe yeye ndie aliyemtelekeza Shamsa na akahamia kwa Eliza? Hatimae tukakutana kwa Eliza?.
Gefy aliniangalia kwa hasira nazani aliwaza mengi sana kama haya *mh!!!... hv huyu Izzochapa ananitafta nini alininyanganya Eliza kwa dharau alafu akachukua na mke wangu? Si kubali leo nakufa na mtu,,
Gefy alinirukia akanipiga ngumi watu wakashanga sana huku wakiulizana,
"Jamani kwa hiyo huyu maiti alikuwa na wanaume wawili? "Tunashangaa?,,..
"Sikilizeni huyu Izzochapa ndie mwizi wa mke huyo binti alikuwa ni mke wa gefy si walikuwa wanaishi lango la jiji magomeni ..
"Haaaa kumbe yaaniii jamaniii kwa hiyo sasa wanagombea maiti?.
"Ndioo,,,
(Kama unavyojua mwanayamala umbea umezaliwa pale kusutwa kwao sherehe)
Polisi nao walifika kwa ajili ya kubeba maiti ya shamsa ila wakakuta ugomvi mkubwa sana unaendelea wakatuamuwa,,
"Mnapigania nini?
"Huyu aliniibia mke alafu kafia kwake,
Polisi waliniamuru kuingia kwenye difenda huku nikipigwa virungu,,
"Afande huyo ni mke wangu bwanaa,, (raia wakakandamizia) "sio mke wakee huyo Izzo ni mwizi wa wake za watu uyoo kamfungeni wakina mama wa pale walishangilia sana hasa mama chudei, mama yake Anwar na mama yake sophia,,,,,
Niliwaangalia wale akina mama nikawaza heshima niliyowapa kwa kuacha kutembea na watoto alafu leo wanashangilia kukamatwa kwangu kwa kitu wasichokijiuwa,,
"Afande shamsa ni mke wangu bwanaaa...
"Twende na wewe ndie utatwambia wauaji ni wakina nani?..
Tayari kesi nilipewa ya mauaji maana ukiisha ambiwa ukasaidie upelelezi kinyume chake kwetu hapa bongo wewe ndie muhusika mkuu tu,,
Wakina mama kama watatu majirani walipaza sauti,,
Nenda muuaji wewe utakuwa umemtoa kafara mtoto wa watu,,
Niliwaangalia nikawapa bomu moja tu,,
"Nyie si mnaongea hivyo kwa sababu niliwakataa wa mama wazima ovyoooo mnapenda vijana mnagawa k*m zenu kama hamna waume?..
Haibu iliwarudia wenyewe waume zao wakatoa macho kama mijusi na wengine kama mikenge vile...
episode 3 sehemu ya 7
Nilipelekwa kituo cha polisi cha oysterbay kilichopo msasani karibu na morocco nikaingizwa lupango nikawa nasubilia kitakachofuata,,,
Baada ya masaa mawili niliitwa na mkuu wa kituo nikafunguliwa nikapelekwa ofisini kwao,
"Kaa hapo kijana,
Nilikaa kusikiliza nitakachoambiwa,,
"Izzochapa tueleze mazingira ya kifo cha yule binti,
"Afande sijui lolote kwasababu mimi nilikuwa nje ya mji huu,,
"Ulikuwa wapi?.
"Nilikuwa dodoma na tiketi hizi hapa za ndege,,
"Izzochapa inaonesha ulienda na ukarudi leoleo dodoma ulifuata nini?
"Nilikuwa na miadi na mbunge anayeitwa Vicky,,
"Tumuulize?
"Muulize tu,
Afande alipiga kwa mkuu wa wilaya kuomba namba ya vicky akapewa kisha akapiga,,
"Hallow mheshimu natumai naongea na mh. Vicky?
"Ndio,
"Hapa ni kituo cha polisi naomba kuuliza unamfamhamu Izzochapa anaekaa mwanayamala kwa kopa?
"Ndio namfahamu kwani kuna nini?
"Alikuwa huko lini?
"Leo nilikuwa naye akapigiwa simu ya kuwa kuna mgonjwa ikabidi arudi tena huko,,
"Sawa tunashukuru kwa msaada wako,,
"Kwani afande kuna nini?
"Tuko naye hapa tumemshikilia kwa kosa la mauaji,,
"Mauaji ya naniii?...
"Ya mdada anaye ishi naye mh. Subili kwanza tukimaliza kazi tutakupa maelezo baade,,
,,,,Simu ilikatwaa,,,,
"Izzochapa inabidi urudi sero kwanza alafu tutakuhitaji baadae,
"Sawa ila naomba mumpigie mke wangu kwanza,
"We si ulisema marehemu ndie alikuwa mke wako?.
"Ndio mambo ya mahusiano yangu na hao wanawake nayajua mimi,
"Sawa namba zake,
"07*54**670,
"Haya tutampa taarifa,,
Nilirudishwa rumande ila haikupita hata dk10 nikaletewa chakula cha usiku na afande nilitolewa sero nikakaa pembeni nikaanza kula kilikuwa ni chakula kizuri wali na kuku tena minofu ya kutosha na soda juu,
Baadaaa ya kula nilirudishwa rumande nikiwa nimelala mida ya saa sita niliamshwa na askari wa kike,,
"Iiizzo izzochapa ,,...,,
"Naam,
"Njoo,,
Nilinyanyuka akanifungulia mlango nikatoka nje,,
"Nifuate nyuma,,
Nilimfuata mpaka mapokezi,,
Nilipofika nilikutana uso kwa uso na zainabu mke wangu nilipomuangalia niligundua anatoa machozi hapo niligundua kuwa ameisha elezwa kila kitu,,
Nilishindwa kunyanyua mdomo wangu kumuita zainabu ila yeye alinena jambo,
"Izzochapa...,,,...
"Naaam..,,,..
"Kwanini lakini siyo muaminifu kwangu?..
"Naomba unisamahe mke wangu,,
"Nimekusamehe mume wangu,,
"Asante,,..,,
Zainabu aliwageukia polisi na kuongea nao,,
"Afande mtanisaidiaje?.
"Ungerudi kesho asubuhi ukaongea na mkuu wa kituo nazani yataisha tu,
"Sawa, basi kwahelini,
"Haya usiku mwema,,
Zainabu aliniangalia akaniambia,,
"Mume wangu tuko pamoja usiku mwema,,
"Sawa,,
Gafla nilishituka kuona vicky naye akiingia kituo cha polisi,,
*aaah!!!... mambo yanahalibika sasa*
EPISODE 4
Vicky naye aliingia kituo cha polisi ila kwa bahati nzuri zainabu alikuwa amemaliza kuzungumza na mimi akageuka na kuondoka akapishana na vicky mlangoni wakasalimiana kila mmoja akaendelea na hamsini zake,,
Afande aliniamulu kurudi lupango na mimi nikageuka kurudi sero ila nikiwa mlango wa sero afande akiwa anafungua mlango sauti ya afande mwenzie ilisikika,,
"Afande mlete kwanza huyo ana mgeni wake,
Nilirudishwa tena mapokezi nikamuona vicky mbunge wa wananchi wa kigamboni,,
"Izzochapa sogea pale uongee na mgeni wako,
Nilimfuata vicky nikasalimiana naye,
"Mambo vipi Izzo?
"Nipo kama unavyoona,
"Izzochapa ilikuwaje lakini mbona nashindwa kupata picha halisi ya tukio?,
"Ni kwamba yule aliyenipigia kuwa anaumwa nilikuta ameuawa ila nashindwa kuelewa ni wakina nani wamefanya hivi?
"Kwa hiyo polisi wamekukamatia nini?
"Wanadai niwasaidie upelelezi,,
"Kivipi wakati haukuwepo?
"Nashindwa kuelewa ila kosa jingine wanadai nilikuwa naishi na mke wa mtu kwa hiyo ni makosa kisheria,
"Kwani huyo msichana alikuwa nani yako?
"Ni msichana niliyemsaidia alikuwa ametelekezwa na mume wake,,
"Izzochapa hayo yote tuyaache kwa kuwa nimefika basi usihofu nitakusaidia kwa kila hali,,
"Nitashukuru,,
"Sawa, kwa hiyo tutaonana kesho mungu akijaalia,
"Sawa usiku mwema,
Vicky aliondoka akaingia kwenye gari aina ya GX na kusepa zake,,
Wale askari waliniangalia kisha wakanena,,
"Hv kaka unawapa nini hawa wanawake?
"Kwanini?
"Maana yule kwanza katoka tanga aliposikia umepata matatizo na huyo mheshimiwa naye katoka dodoma kuja kukuona ina maana hata vikao vya kesho hatauzulia,
Askari mwingine wa kike akadakia,
"Inaonekana anawarithisha,
"Mh!!!!# kweli maana ni hatari mpaka wameshindwa kulala bila kumuona,
"Jamani mrudisheni sero,,
Nilirudishwa selo,,
Kesho yake asubuhi vicky alifika na zainabu alifika napia Elizabeth alikuja na dada yangu fatma alikuja, walikaa kumsubili mkuu wa kituo na hakuna aliyemjua mwenziye kila mmoja alikuwa kivyake vyake,,
Mkuu wa kituo aliingia akaenda ofisini ila kwa kuwa alikuwa anamjua vicky na cheo chake cha ubunge alimwambia amfuate,,
"Mheshimiwa habari yako?
"Nzuri kamanda wangu za majukumu?
"Tunashukuru mungu karibu ofisini,,
"Asante,
"Kamanda hii kesi ya huyu mtu wangu inakuwaje?
"Kesi siyo kali sana kwa kuwa maelezo yanaonyesha izzochapa hakuwepo alikuwa dodoma ila kesi inakuja sehemu moja izzochapa kuishi na mke wa mtu kwake,
"Sikia afande ni kuwa yule dada alipewa msaada na izzo baada ya kutelekezwa,
"Hiyo habari nilikuwa sina ngoja nimuitishe izzo atufafanuliye hili,
"Sawa,,
Nilitolewa sero nikapelekwa ofisini kwa mkuu wa kituo,
"Izzochapa kaa hapo kwenye kiti,
Nilikaa nikamsalia vicky,
Polisi: izzochapa nataka ushirikiano kuhusu yule dada kuishi kwako mpaka kufikwa na umauti,,
Nilimweleza askari yote kuhusu shamsa wakati huo vicky alikuwa pembeni akisikiliza,
"Polisi:hii kesi kama ni hivyo ngoja tumpigie simu Gefy,
Gefy alipigiwa akaelezwa yote kisha Gefy akakili kosa la kumtelekeza shamsa akaomba radhi,,
"Polisi: sisi tunamuachia maana tunakosa kumuhukumu
"Sawa,
"Haya sasa mhesima utarudi jioni kuja kumchukua acha
niweke mazingira sawa,,
"Sawa nitakuja saa kumi,,
"Sawa,
Vicky aliaga akaondoka wote waliokuja kuniona waliambiwa waje jioni saa kumi,
Saa kumi ilifika vicky akaja, akaja na zainab na pia eliza,
Nilipotolewa sero nilishindwa kuchagua niende na nani?
*Mbona kazi ninayo leo*

🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2OGuAy3
No comments:
Post a Comment