Tuesday, November 12, 2019

Faida 10 Za Kukumbatiana.



 Kitendo cha kukumbatiana sio tu kinaleta upendo na kuileta jamii pamoja bali kina faida kubwa za kiafya na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa, watu hushauriwa kukumbatiana angalau mara 8 kwa siku.Nimekusogezea hapa faida 10 za kukumbatiana.

1- Husaidia kupumzisha ubongo.Kumkumbatia mtu unayemjali au kumpenda kunasaidia ubongo kuzalisha homoni inayojulikana kama OXYTOCIN ambayo huusaidia ubongo kufikia kiwango kikubwa cha kupumzika, pia homoni ya OXYTOCIN humsaidia mwanamke mwenye ujauzito kujifungua kwa usalama zaidi kwani hufanya mfumo wa uzazi kupanuka.

2 – Husaidia mwili kupambana na magonjwaKwa mujibu wa tafiti mbalimbali watu wengi hasa wazee wanaokumbatiwa mara nyingi huwa na asilimia chache za kukumbwa na magonjwa kuliko wale ambao hawakumbatiwi, hivyo watu hushauriwa kukumbatia wazazi wao kwani hii itawasaidia miili yao kuzalisha kinga ya kupambana na magonjwa.

3 – Kukumbatiana husaidia kupunguza maumivuMadaktari hushauri kuwakumbatia wagonjwa wetu kwani kitendo hicho kidogo kinasaidia ubongo kuachia homoni  inayojulikana kama endorphinsambayo husaidia kufunga njia zote katika ubongo ambazo hutuma taarifa ya kuwepo kwa maumivu kwenye mwili.

4 – Husaidia watu kuwa na mood nzurKwa mujibu wa tafiti mbalimbali watu wenye hasira au mood mbaya kila siku huzalisha homoni chache sana za Dopamine na Serotonin ambazo zinasaidia kufanya ubongo kuwa na uchovu na kukosa furaha hivyo kumkumbatia mtu unayempenda inasaidia kuzalisha homoni hizi kwa wingi.

5 – Kukumbatiana huongeza ufahamu kwenye ubongoWatu wanashauriwa kuwakumbatia watu wenye uzito wa kuelewa mambo kwa haraka hasa wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa kama  Autismna Dementia kwani kitendo hiki husaidia ubongo kuzalisha homoni yaoxytin inayosaidia ubongo kuelewa jambo kwa haraka na kutatua maswali magumu.

6 – Hupunguza msongo wa mawazoKukumbatiana kunasaidia kupunguza uzalishaji wa homoni inayoitwaCortiso ambayo husaidia ubongo ku-relax. Homoni hii ikizalishwa kwa wingi kwenye ubongo wa binadamu husababisha hutawaliwa na mawazo hasi yanayopelekea msongo wa mawazo.

Itaendelea katika group la whatsap 


  WAKUBWA TU :Tazama Video za kikubwa hapa






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/36ZhV1q

No comments:

Post a Comment