Friday, November 22, 2019

Simulizi-JIMAMA TAMU-Sehemu. Ya. 07






simulizi-JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 07
WhatsApp:0678926045
Sawa Fanya haraka mjinga wewe, liliongea Jimama na kutoka pale mlangoni weeee mniga alioga haraka haraka na kutoka bafuni mule akiwa makini sana hadi alifika getoni kwake huku anahema kweli,
'"Duuh ningefumwa kijinga kweli ila yule mtoto anakitu mnato nimeinjoy kweli natamani ningemwagia viwili yani, alijiwazia mniga huku kajiraza kitandani kwake na usingizi ukampitia kwa sababu ya uchovu alilala sana hadi anakuja kutuka ni simu ndo inaita kwa sauti kweli aliitizama ni namba geni akaichukua na kupokea,
'"Hallo nani mwenzangu, aliongea mniga huku bado anawenge LA usingizi, sauti ya upande wa pili ikasikika,
'"Ni Mimi yule Dada ulienitengenezea gari langu geleji kule, aliongea Dada yule,
'"Oh nimekupata mrembo haya nambie, aliongea mniga,
'"Safi tu ila kama unanafasi njoo basi kwenye baa iitwayo V.K.Y. nikupe zawadi yako nyingine niliokuhaidi, aliongea Dada yule kwa sauti tamu kweli,
"'Sawa nakuja ngoja nijiandae, aliongea mniga na kukata simu akajinyanyua kitandani pale kwa uvivu huku miyayo mingi sana ya usingizi akachukua maji na kwenda bafuni alioga hadi alipo maliza na kurudi geto kwake gavaa pamba Kali na kutoka safari ikaanza huku Giza lilianza kutanda kote, alitembea mdogo mdogo huku njaa nayo ikimuuma hakuchukuwa muda alifika V.K.Y. ambapo kulichangamka kweli watu ni wengi sana mniga akaingia ndani na moja kwa moja akanyoosha kwenye meza ya mrembo yule ambae alimpa ishara ya mkono alifika pale na mrembo yule alinyanyuka huku anatabasam akamkumbatia,
'"Jamani fundi nikajuwa utanidanganya huta kuja, aliongea mrembo yule kwa sauti yake tamu ya kubembeleza,
'"Kwanini nisije kwa mrembo kama wewe, alijibu mniga,
'"Asante kwa kuitikia wito wangu kalibu, aliongea mrembo yule basi mniga akakaa na muhudumu alikuja na kumsikiliza mniga ambae aliagiza mvinyo na chakula, hapo wakaendelea kupiga story muhudumu alileta vitu alivoagiza mniga na akaanza kula hadi,
Itaendelea....
Like share


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/34hQDle

No comments:

Post a Comment