Hakuwa na namna tena mdogo mdogo akaanza kurudi getoni kwake huku mawazo mengi sana kwakuwa ni jirani, alifika na kuingia ndani huku akijibwaga kitandani maana hata njaa ilikata Ila kwakua alinunua chakula alikula ili kisihalibike tu usingizi ukampitia na kulala, kulivokucha fasta aliamka na kwenda bafuni kuoga haraka haraka wakatihuo ilikuwa imetimia saa 2 asubuh alivotoka bafuni hadi getoni kwake akavaa nguo za kazini kwake safari ikaanza huku anatembea haraka haraka sana, hakuchukua muda alifika geleji ambapo alikuta mafundi wenzake yani wamechafuka hatali akamsogelea fundi mmoja na kumuuliza,
'"Oi Omy nambie mzee baba, aliongea mniga,
'"Bomba jamaa yangu vipi, aliongea Omy
'"Safi naona Leo mmeoga oili chafu vipi, aliuliza mniga,
'"Ndio jamaa maana kunagari hilo ni kiboko maana hadi fundi mkuu kashindwa kutengeneza ngoja haiwaki harafu ilikuja inatembea yani, aliongea Omy,
'"Duuh sasa itakuwaje mwanangu, aliongea mniga,
'"Sijuwi kwanza maana deti mwenye gari mkali kinoma sasahivi wapo ofisini na bosi wanajadiliana ili bosi alipe garama zote yani, aliongea Omy
'"Daaah ila Mimi ngoja nikalitengeneze ili tusihalibu jina la geleji yetu bhana, aliongea mniga kwa kujiamini sana,
'"Hahahaha mniga sasa unataka unichekeshe jamaa yangu au bangi zako zinakusumbua nini, aliongea Omy na kucheka,
'"Sasa huamini au Mimi lile nalitengeneza na linapona wewe, aliongea mniga,
'"Fundi mkuu njoo umsikilize kijana wako huku Mimi nahisi bangi zinamsumbua, aliongea Omy kwa kucheka,
'"Anasemaje Hugo nae mjinga bhana anasumbua watu tu, aliongea fundi mkuu na kutoka ofisini huku kaongozana na bosi wake na deti mwenye gari,
'"Ananiambia hapa yeye gari hii anauwezo wa kutengeneza, aliongea Omy ,
'"Huyu simpumbavu tu yeye anafiki hii baskeri au, aliongea fundi mkuu kidogo kwa hasira,
'"Naijuwa kwamba gari ila naomba na Mimi nikajaribu kutengeneza fundi wangu, aliongea mniga huku mafundi,

Itaendelea.....
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/34ecp9A
No comments:
Post a Comment