Friday, November 22, 2019

JIMAMA TAMU Sehemu. Ya. 05




Simulizi-JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 05
Nimambo ya kiufundi tu hayo, aliongea mniga kwa kujiamini, yule deti akashindwa kujizuia akamsogelea mniga pale alipo na kumkumbatia huku anampiga mabusu mengi hadi mafundi wenzake na mniga wakabaki kushangaa tu alimuachia mniga yule deti na kufungua pochi yake ambapo, alianza kutoa maelfu kumi kumi na kumkabizi mniga ambae alipokea kwa furaha sana,
'"Nipe namba yako ili jioni nikupe tena zawadi yako, aliongea deti yule,
'"Asante sana mrembo, aliongea mniga na kuziweka pesa mfukoni huku akichukua simu ya yule deti na akaandika namba zake alipomaliza tu akamrudishia Mara ikasikika sauti ya bosi wa geleji,
'"Jamani kwanzia Leo mniga ndo atakuwa fundi mkuu hapa geleji na aliokuwa fundi mkuu atakuwa msaidizi wa mniga kingine mshahara nimempandishia kutoka laki moja na sasa ntamlipa laki nne maana kaniokolea hasara ya mamilioni ambayo ningemlipa Dada huyu, aliongea bosi huku akiwa na furaha sana ila sasa fundi mkuu ndo anatamani kupasuka kwa wivu na hasira nyingi alizonazo maana hakutegemea kama ingekuwa vile mniga kumzidi ufundi, mniga kwa sababu ya furaha alionayo hakukaa tena geleji mdogo mdogo aliondoka zake na kwenda getoni kwake huku mkono kashika kwenye mfuko wa pesa alizokuwa Nazo maana zisije kudondoka bule, alifika getoni na kuingia ndani ambapo alijifungia ndani akaanza kuhesabu pesa aliopewa na deti yule na kuigundua ilikuwa ni laki nne hapo furaha iliongezeka Mara dufu akachukuwa ndoo ya maji na kutoka hadi bafuni ambapo hakubisha hodi wala nini hamadi akamkuta mtoto wa jimama anaoga ambae mkubwa aitwae mery, mniga akataka kutoka haraka haraka ila akasikia sauti ya mery ikimwambia kwa sauti ya chini,
'"Yani ukitoka tu ntapiga kelele ulikuwa unanibaka wewe ingia tu na Mimi nikuone, aliongea mery kwa sauti ya chini,
'"Mmmh jamani mery nimeingia bahati mbaya tu nisamehe sikukusudia, aliongea mniga,
'"Hapana na Mimi basi nikuone kwa bahati mbaya tu,
Itaendelea...
Like share...



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2XGFjgc

No comments:

Post a Comment