Anae mzarau mwanaume anaijua kesho yake nawaheshim sana wanaume kwa majukum waliyonayo tungelikua tumeumbiwa wanawake Hakuna ata mmoja ambaye angeweza kutimiza wajibu wake
ndio hata sisi tunayo yakwetu ambayo nayo hawayawezi lakini hata vitabu vya dini mwanaume alipewa nafasi kubwa zaidi ya mwanamke, yaani kichwa cha nyumba, ndiomaana cc wanawake tunapokua na uwezo ndani ki fedha kumzidi mwanaume tunawanyanyasa Sana waume zetu lakin fikilia kwann mwanaume anapokua na pesa anakuhudumia anavyojickia?
Poleni sana wanaume na hongereni Sana kwani mlipewa moyo wapekee Sana nawakubari Sana wanaume , unaweza ukamdharau leo halafu kesho keshokutwa ukakutana naye sio yule wa jana au juzi, hawa huwa hawatabiriki na Mungu huwatumia sana hawa kukufundisha wewe mwanamke kwamba maisha yanabadilika. cha Msingi heshimu mwanaume uliyenaye, mtengeneze awe kama yule unayemtaka wewe, na ujue kwamba Mwanaume bora haji kwa kushushwaa kutoka mbinguni anajengwa na Mwanamke wake,lakini pia wakati unajitahidi kumjenga na kumtengeneza mwanaume wako Mshirikishe na Mungu Pia 👇 ✍️from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/3afflFG
No comments:
Post a Comment