1. Jifunze kuweka akiba ya fedha
2.Tafuta mpenzi sahihi na tulia nae
3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji
4. Achana na starehe zisizo na maana
5. Jali sana afya yako
6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo
7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani na n.k
8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza
9. Acha mambo ya kitoto jisikie umekua mkubwa na mambo unayoyafanya yawe ya kiutu uzima
10. Zingatia sana muda wako.
Comment namba ulioipenda hapo juu.
Pata Ajira Ya ndoto yako yenye mshahara mnono na Masharti (Experience) nafuu ukiwa na App ya ajira forum Ajiriwa sasa ππππππππππππππππ
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2UkvUdZ
No comments:
Post a Comment