Thursday, May 30, 2019

UNA HAKI NA NAFASI YA KUPENDA AU KUPENDWA





Usikate tamaa,usaliti uliofanyiwa usikufanye ukayachukia mapenzi,kikubwa ni kujua sifa NA vigezo vya mtu mwenye upendo wa dhati na atakayeheshimu hisia zako,,,ni haki yako NA unaweza kufurahia mapenzi tena,,,hebu tulia na ujitathimini kisha ruhusu akili ishirikiane na hisia ili vifanye maamuzi ya kumpata mtu sahihi na wakati sahihi atayeleta furaha na kukusahaulisha machungu yote.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2wwaAFz


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2I7anOF


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2WcMQ8I

MWANAUME MPENDE MKEO NA MWANAMKE MUHESHIMU MUMEO



Ni agizo na nataka ujue nguvu iliyopo katika upendo na heshima,, mwanamke unapoonesha heshima kwa mumeo unachochea nguvu ya upendo kwake,,,kumbuka mwanaume hujiuliza nani hufaa kukaa ndani ya nyumba,,mala zote huvutiwa na heshima yako,,,Jua heshima ikiwa ndani ya pendo lenu basi kuna ustawi pia wew mkaka jua kuwa upendo na KUJALI ni tunda pekee litakalomfanya mkeo kujiona wa tofauti na wa thamani,,,na unapoonesha upendo unachochea heshima kwa mkeo,,NA kumfanya akupende na kukuheshimu siku zote.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2QyBlmd

SAMEHE PANAPOSTAHILI





Sio kila anayeomba msamaha anastahili kusamehewe wengine huomba ili kupata nafasi ya kukumaliza kabisa.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Xfnjbv

USIFICHE UHALISIA WAKO



Kama unatafuta penzi la dhati usifiche uhalisia wako,,kua wewe na onesha tu mapungufu yako ili unayempenda ajue kama kakupenda ulivyo au laah!onyesha madhaifu yako kama anakupenda atakubadilisha na atabaki na wewe.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2EHxeze

FAIDA AMA UZURI WA KUOA SINGLE MOTHER'S NA WADADA OVER 35+



Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mothers au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials,,ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35,,,hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao,,wanakuwa wameshapitia changamoto nyingi zinazohusiana na mahusiano so huwa sio wasumbufu,,wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume NA familia kiujumla,,wana mazuri mengi kiukweli,,kama hujaona ukipata mwanamke wa hivi usipoteze fursa.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2YX5O00