Habari yako msomaji wangu,,, natumaini upo salama,,,,,,,Ukitakaa kuishii kwa furahaa na amani na ndoa/mahusiano yakoo usiifananishe na MTU mwingine labda ambae inamzinguĂ au wapo sawa katika mahusiano yao,,,,, huwezi juaa kwa wanaozinguana wamepangiwa nini na munguu na nikwanini wanapitishwaa kwenyee ndoaa hiyoo,,,,, hamnaa anaetakaa ndoaa ya shidaaa ispokuaa mungu huendaa anapimaa au kaingiaa kwenye ndoa isio yakeee.....jitahidi kuishi kwenye mahusiano yako wewe kama wewe ,,,, acha kuangalia nani kafanya hivi au wanaishi vipi,,,ishi maisha yako kwenye mahusiano na utaishi kwa furaha sana.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2GYHDIm
No comments:
Post a Comment