Habari mpendwa msomaji wangu,,,,,, leo naomba nigusie jambo hili ambalo limekuwa tatizo kwa maisha ya wapenzi wengi,,,kuwa makini na maneno au text unazomwambia au kumtumia mtu unayempenda/mpenzi wako,,,,maana tafsiri inapokuja tofauti lazima utatengeneza tatizo.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2LjIc3S
No comments:
Post a Comment