Monday, May 27, 2019

MTAZAMO JUU YAMAPENZI


Tumetofautiana sana katika namna tunavyotafsiri upendo,,,,
MWANAMKE anatafsiri upendo namna unavyomjali na kumthamini,,,,,
MWANAUME anatafsiri upendo kwa kumsikiliza na kumuheshimu,,,,,,
Ukiyafanya haya kwa ustadi na kujitoa kwa mwenza wako hauhitaji kumwambia NAKUPENDA kabisa,,,,atajua tu kama unampenda.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2YVIMa5

No comments:

Post a Comment