Maumivu unayopata ni makali na yana uchungu ndani yake,,,lakini yasikufanye ubadilishe maamuzi uliyoyafanya,,,kuna wakati unaachana na mtu huku unaumia,,kwanini ananifanyia hivi?Ni huyu leo kweli kawa hivi?Hisia zako zisikurudishe kwenye maumivu zaidi,,,ni kweli unaumia lakini ipo siku utapona na hata maumivu hutayasikia tena ,,,,,,unahitaji muda ili maumivu yako yaponee na kupotea kabisa,,,,usizuie hatua za uponaji wako,,,,inaweka ikachukua wiki,mwezi bado isikukatishe tamaa na kutaka kurudi,,,,hisia zetu hupenda kujisikia amani hivyo unaweza hata tamani umtafute,,au hata uulizie rafiki zako kama amekuulizia,,bado una nafasi ya kupona na kurudi kama zamani
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2ZOx8Pm
No comments:
Post a Comment