Thursday, May 2, 2019

KULIA KUNASAIDIA KUPUNGUZA MAUMIVU/MACHUNGU




Mtu hulia kama sehemu ya kuonesha uchungu wa jambo husika,,,,lakini unapolia inasaidia kupunguza maumivu au machungu uliyonayo,,,,,huenda ukawa unalia kawaida kama mtu aliyeguswa na matatizo lakini kulia kwako pia kuna msaada,,,,hata kama umeumizwa katika mapenzi lia utavyo,,,,ndio maana kuna wengine wakikasilika anaamua alive sana na akija kunyamaza hasira zinakuwa zimemuisha #ukihisi unahitaji kulia lia kadri uwezavyo,,,funny lakini ndo ukweli.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2PGUMZv

No comments:

Post a Comment