Thursday, May 2, 2019

KUWA TAYARI KUKABILIANA NA MABADILIKO KATIKA MAHUSIANO



Mwanzo wa mahusiano pindi mnapoanza kila kitu huonekana kipo sawa,,,lakini baada ya muda utofauti huanza kuonekana,,,,hivyo tarajia mabadiliko na uwe tayari kuyakabili,,,,maana kuna mabadiliko yale mazuri na yale mabaya,,,,,kuwa tayari kwa mabadiliko katika mahusiano yako na uwe tayari kuyakabili,,,,maana usipokuwa na utayari utajikuta unarukaruka toka kwa mtu huyu kwenda kwa huyu,,,,kwasababu hamna mtu aliyekamilika.



from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Wjf2CV

No comments:

Post a Comment