Thursday, May 2, 2019

HUWEZI KULA MUWA BILA KUKUTA FUNDO



Huu ni msemo wa kiswahili lakini una maana,,,,,hata kwenye mahusiano kuna fundo(magumu ambayo yatakufanya upiganie penzi lako)hakuna mahusiano yasiyo na changamoto NA usidhani kuwa ni kwako TU,,,,,,kila mtu akikwambia yanayomsibu unaweza on a wewe una afadhali,,,,,ukikimbia kila changamoto unayokumbana nayo kila siku utaishia kuwa na mahusiano mapya,,,,,tafuta suluhu ya changamoto ulizonazo,,,,ukiona imeshindikana fanya maamuzi ya kuendelea au kusitisha.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Y77SCr

No comments:

Post a Comment