Friday, May 3, 2019

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji latoa tahadhari kwa wananchi kuhusu mvua kubwa



Kutokana na utabiri uliotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kuwa kutakuwa na mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha nchini hivi karibuni, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linatoa rai kwa wananchi waishio mabondeni kuchukua tahadhari. 





from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2VaTLim

No comments:

Post a Comment