MBUNGE waJimbo la Mtama Mh.Nape Mosses Nauye amemtaka waziri wa maji kuhakikisha katika bajeti ya mwaka huu wa fedha 2019/2019 kuuongezea fedha mfuko wa maji ili kusaidia suala la tatizo la maji katika maeneo mbalimbali nchini.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2PMO7Nt
No comments:
Post a Comment