Friday, May 3, 2019

MBUNGE ALLY KESSY ASEMA YOTE



MBUNGE wa jimbo la Nkasi Mh.Ally Kessy amesema kuna baadhi ya wakandarasi wanaoshirikiana na watumishi wa wizara ya maji kula fedha za miradi ya maji,hivyo kumuomba waziri wa maji kuwawajibisha.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2vDE9oe

No comments:

Post a Comment