Monday, January 27, 2020
BIBI HARUSI MTARAJIWA MALAIKA SEHEMU YA ISHILINI NA NANE
ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA SABA : Mama Malaika alianza kwa kuzungukia maduka na kiwanda cha ushonaji, kisha akaingia ofisini, alifanya shuguli zake kwa masaa mawili kabla ya kumwona mama Martin akiingia hapo ofisini, akionyesha mwenye hasira na chuki kubwa sana juu yake “hoo karibu sana” aliongea mama Malaika huku akitabasamu, na mama Martin aliona kama lile tabasamu, ni lakejeli, lika mzidishia hasira “huna ata haya we! mwanamke, sasa kumtorosha mwanao na kutusababishia aibu kubwa wenzio ndio nini?” aliongea mama Martin, pasipo kukaa huku amejishika kiuno “nani asiye kuwa na haya, kati ya mimi na wewe?, unaweza kuniambia mwanao alikuwa amelala wapi siku ya kuamkia ndoa?” endelea........
Swali hilo lilimtuliza mama Martin, akabaki amekodoa macho, hapo akaongezewa swali jingine “hivi mngemruhusu Martn amuoe Malaika endapo Martin ndiye angekuwa amemfumania mwanangu ofisini, akifanya uchofu kama anao ufanya Martin?” mpaka hapo mama Martin alitaka kuondoka lakini mama Malaika akamuwai “ngoja kwanza usindoke, hivi kweli unazani Malaika atakuwa tayari kufunga ndoa na mtu ambae ameshuhudia yupo gest siku tatu kabla ya ndoa kufungwa, hisitoshe nenda kamwulize mwanao uwa anafanyaga nini na yule binti, wapale ofisini kwake, maana nimeshuhudia kwa macho yangu uchafu waliokuwa wakiufanya”mpaka hapo mama Martin alikaa Kimya, akuwa najibu lolote, zaidi aliumauma mdomo kwa hasira, “mwisho waambie mwanao na mumeo, wahache kuzunguka kwenye majumba ya watu usiku, aitakuwa vyema wakikamatwa kwa kesi ya ujambazi au utekaji nyala” adi hapo Kihelehele chote kwisha, mama Martin akusubiri kusikia mengi zaidi, alifungua mlango na kutoka mbio, akaingia kwenye gari lake nakuondoka kwa mwendo wakasi, akili yake ikimtuma aende kumsema mwanae Martin kwa kitendo cha kwenda kwenye majumba ya watu usiku, **** Martin naye leo aliamua kwenda ofisini, akiwa na lengo kwamba akisha maliza kazi zake, akapate bia mbili, huku akisuburi kusikia kuwa Malaika amesha patikana, hivyo alipita sehemu zote muhimu, za kukusanya mapato ya siku mbili, ambazo hakuja ofisini, huku watu wakimfariji kwa pole za uongo, maana alipo pita tu!, watu walianza kumsema kwa tabia yake mbovu, na jinsi alivyo amka gest na kwenda kufunga ndoa, mwisho Martin aliingia ofisini kwake, akimkuta Mage anaendelea na kazi zake, nae akampa pole, Martin bila kuitikia akamshika mkono Magreth na kumvutia ofisini walipoingia tu!, Mage alishaijuwa kazi yake, akapiga magoti mbele ya Martin, akamfungua zipu ya suruali, kisha akaingiza mkono kwenye nguo ya ndani Martin, akapekua pekua na kuchomoka na dudu na kuanza kazi ya kulamba kama anae kula koni ***** wakati huo mama Martin alipotoka pale ofisini kwa mama Malaika alikimbilia mtaa wa Zanzibar zilipo ofisi za mwanae, ni mitaa miwili tu! toka ilipo ofisi ya kina Malaika, alitumia dakika tano kufika hapo, kwanza alilikuta gari la mwanae likiwa nje, akajuwa lazima atakuwa ndani ofisini, akaingia moja kwamoja ndani, akumwona Mage pale mahali pake, akaenda na kuufungua mlango wa ofisini kwa Martin, ndani ya ofisi mama martin akabaki ameganda kama sanamu, maana amlishuhudia Mage akiwa amelala juu ya meza, chali miguu kakunja juu kifo cha mende, Martin mwanae akiwa amesimama kwa chini suluali kwenye mapaja, amemwingizia dudu Mage, wakiendelea kuvunja amri ya sita, naowalipo mwona, walikurupuka na kusitisha mchezo ule, ambao mama Martin leo hii anagundua ndicho kilicho pelekea mwanae kukimbiwa kanisani, maana licha ya kusikia na kuijuwa tabia ya mwanae, lakini hakuwai ku mfumania live, leo alijikuta akimchukia mwanae, nazani kwakuwa amesha mtia aibu, Magreth alijiweka sawa kisha akatoka taratibu mle ofisini, na huku Martin naye akiwa tayari amesha jiweka sawa “mwanagu inamaana adi ofisini?” aliuliza mama Martin kwa sauti iliyo jaa uchungu, Martin akuwa na jibu, “haya tuyaache hayo, hivi jana usiku wewe na baba yako mlienda wapi?” aliuliza mama Martin, akimtazama Martin usoni, “kwani kuna nini mama?” aliuliza Martin, akionekana kustushwa na swali la mama yake, hofu ilimtawala vibaya sana “mimi sijuwi, ndio maana nakuuliza wewe, mlienda kufanya nini kwenye nyumba za watu?” Dalili na mwonekano wa Martin ulionyesha wazi kuwa, aliyo yaongea mama Malaika, ni yaukweli, hapo mama huyu akajizuwia kulia akakimbialia kwenye gari na kuondoka kuelekea nyumbani kwake mafalanyaki, akitambua wazi kuwa ameumbuka, ***** nyumbani kwa mzee komba alikuwa anaongea na simu, akisisitiza jambo, “jitaidi muwakamte leo hii, ata kama ni mchana mkiwakamata tu, mnijulishe mala moja, nifkike sehemu mtakayo kuwepo” aliongea mzee Komba na kukata simu, sasa basi, Ile mzee komba anakata simu, na mke wake naye anaingia, akiwa amejawa na mfadhaiko, kwanza mzee Komba alitumia busara kubwa kumbembeleza mke wake, adi alipotulia, na kumsimulia jinsi aliavyoenda ofisini na kuongea na mama Malaika, akamsimulia maneno ya mama Malaika, jinsi alivyomwambia kuwa mume wake na mwanae, wahache kuzunguka kwenye majumba ya watu usiku, hapo mzee Komba akawa amepata jibu, akainua tena simu na kuongea na Para, akamwambia kuwa, anaye juwa mchezo wao ni mama Malaika, na kwamba jana usiku inawezekana kabisa walikuwepo ndani, na waliwaona, para akamwambia kwamba yeye na Martin watulie nyumbani adi watakapo wapigia simu, lengo la kina Para ni kuwa, wakawavizie wakina Edgar wakiwa na mama yao kule nyumbani kwao, ili wawateke na kuwafanyia unyama ndani ya ile ile nyumba yao, baada ya kukata simu para na vijana wake wakaingia ndani ya gari yao taxi na kuelekea mjini, kuwa saka watu wao ***** baada ya kupumzika na kuwaza kilicho mtokea, Sophia akamsimulia Janeth, maajabu yaliyo mtokea wakai anataka kuweka dawa nyumbani kwa Edgar, Janeth nayeye alimsimulia story iliyo zagaa mjini ya Martin kukimbiwa na mpenzi wake kanisani, pasipo kujuwa kuwa Edgar ndie alie mtorosha Malaika, Sophia akaamua kwenda kumtafuta Edgar kijiweni kwake ilikuomba msamaha, hapo Sophia akaondoka taratibu na kuelekea soko kuu, ambapo alitumia kama nusu saa tu! kufika soko kuu, akasimama atuwa chache toka kwenye sehemu ya biashara ya Edgar akimtazama Edgar, ambae alikuwa akiendelea kuuza viatu, sambamba na Jastin, Sophia alijiuliza namna ya kuanza kuongea na Edgar, **** Edgar na Malaika walikuwa bado kijiweni, Malaika akiwa ndani ya kibanda na Edgar akiwa ametoka nje ya kibanda akisaidiana na Jastin kufanya biashara, wateja walikuwa wengi sana, kiasi kwamba Jastin alishukuru kwa ujio wa Edgar, maana alimsaidi kuhudumia wateja ambao walikuwa wengi sana, Edgar na Jastin waliendelea kufanya biashara pasipo kujuwa kuwa kuna mtu alikuwa kwenye kundi la wateja akiwafwatilia Edgar na Malaika wanacho kifanya, alikuwa ni mmoja kati ya wale vijana wakume wa Para, alikuwa amesha waona wote wawili, alikaa sana eneo lile akizunguka mala kwenye nguo, mala kwenye viatu, wakati yule kijana wa akiendelea kuwafwatilia wakina Edgar, mala akamwona mschana mmoja akija na kusimama karibu na Edgar, kilichomvutia kwa yule mschana ni kwamba anamkumbuka ni yule walie mteka nyumbani kwa Edgar usiku, akajisogeza karibu ilikuwasikiliza wanachoongea “Edgar naomba tuingie badani tukaongee” aliongea Sophia akionyesha upole na uzuni ya hali ya juu, Edgar alitabasamu kidogo kisha akamtazama Sophia alafu akamtazama Jastin “nenda kamsikilize kaka kwani kuna ubaya” aliongea Jastin akijuwa fiki kuwa, Sophia akiingia ndani lazima azimie, mala tu! akimwona Malaika “ok! tangulia nakuja” aliongea Edgar na Sophia alitangulia kuingia bandani, ile kuingia tu! Sophia akakutana na Malaika, uso kwa uso, Malaika ambae alikuwa akimwona Sophia toka akiwa nje, alipokuwa amesimama na mpenzi wake Edgar, na alisha mtambua kuwa, ni yule mschana aliemkuta na Martin mala tatu, Sophia alipomwona Malaika alistuka na kutaka kutoka nje, lakini Malaika alimzuwia “hapana dada ingia tu!” Sophia akatulia na kwenda kukaa kwenye benchi pamoja na Malaika, walikaa pale kwa muda kidogo bila kuongea neno, ndipo Malaika akavunja ukimya “vipi bado unaendelea na Martin” Sophia ambae muda wote alikuwa amejiinamia akujibu kitu, adi Malaika alipo mwuliza kwa mala ya pili swali jingine, “eti dada, bado unampenda Edgar?” itaendelea.........
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2GqeBAq
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment