Wednesday, May 1, 2019
ZIFAHAMU NJIA ZA KUKUFANYA UACHE KUANGALIA VIDEO ZA NGONO/PONO VIDEO
Habari!
Hili ni tatizo la wengi. Unaweza ukamuona mtu na heshima zake kabisaa, kumbe amejaza porns kwa simu au pc yake.
Hizi kitu ni Kama dawa za kurevya, zina addiction mbaya. Unaweza kukuta unampotezea mwenzio kisa porno.
Kuna wapenzi wengine hupenda kuangalia porno pamoja kabla ya mechi! Hapa huishia kukunjana kama wanarekodi porno.
Njia kuu ya kuacha!
1. Usikae na simu peke yako usiku ukihisi una mawazo ya ngono!
2. Usiweke bando kubwa kama huna kazi nalo kubwa, utaishia kuangalia porno
3. Sali sana, na ona porno ni kumkufuru na kumkosea sana Mungu.
4. Epuka kusave video kwa simu au pc zenye maudhui ya porno
5. Fanya mazoezi sana na jali usingizi wako.
6. Futa makundi ya WhatsApp, au sites zinazotoa au kutuma porno kwa simu yako.
6. Akili yako ni kubwa kuliko ujuavyo. Jidhibiti. Amini unaweza.
7. Kuwa na mpenzi/mke/mume halali. Ukipata hamu nenda kazimalizie kwake.
NB: walioumbwa na hormones za beberu/jogoo hawatanielewa maana kila kichaka watataka kukojoa
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2DFDVBG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment