Saturday, May 4, 2019
WANAWAKE NA UMRI WAO KATIKA MAPENZI
Wanawake wenye umri wa miaka 18 hadi 22 wana mapenzi ya kweli.
Wanawake wenye miaka 22 hadi 24 wana mawenge.
Wanawake wenye miaka 24 hadi 27 wanajitambua.
Wanawake wenye miaka 27 hadi 30 wana hofu na mashaka mengi.
Wanawake wenye miaka 30 hadi 35 wana msongo wa mawazo.
Wanawake wenye miaka 35 hadi 42 ndoa nyingi huvunjika.
Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita. Wanawake na wanaume wa kundi la sita, wengi wao wana DNA ya wapenzi wao wa zamani.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2DOspUl
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment