Jeshi la Polisi nchini kanda maalum ya Dar es Salaam kitengo cha usalama barabarani leo
kitazindua kampeni yake ya wiki ya nenda kwa usalama katika kituo cha Daladala simu 2000.
Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani kanda Maalum ya Dar es Salaam, Marison Mwakyoma amesema uzinduzi huo utafanyika sambamba na ukaguzi wa magari katika eneo hilo.
“Tunawaalika wakazi wote wanaotumia vyombo vya moto na ambavyo vinapita barabrani kufika
katika viwanja vya Simju 2000 maharufu kama Mawasiliano kwa ajili ya kupata elimu ya usalama barabarani,”amesema Mwakyoma
kwa upande wake mkuu wa kituo cha ukaguzi wa mabasi Ubungo, Ins Ibrahim Samwix amesema yeye na askari wengine wamejipanga vizuri kwa ajili ya zoezi hilo muhimu.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Wnoaq2
No comments:
Post a Comment