Watu husema maisha popote ila linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha unapaswa kujiongeza.
Tulipokua vyuoni wengi tulipata wapenzi na kwa kipindi kile japo tulikua tumeshapevuka kiakili ujana maua ulituzuzua sana . Leo uko na Jane ,juma,aly na kesho una Manka,hassan,danie and vice vesa. Tulijiamini sana tukimaliza masomo tukienda makazini ndio tutawapata akina mr and mrs right...
Turipofika makazini all to find wote wako married, au ni wachumba wa watu , wakiajiriwa wapya tayari wameshadakwa huko walikotokea. Na kutokana na nature za kazi tunaingia asubuhi kutoka jion...kuja kufika home tayari night.
Watu wapya tunakutana nao kwenye vyombo vya usafiri au sehemu za migahawa au bar....tatizo wengi unakua hujui background zao ukijilipua baada ya outing mbili tatu unabaini is not my type
Na mzunguko unajirudia.........ukiwaeleza washikaji watakushauri uwe unaenda church au kwenye conference huenda utapata huko, but wengi wanaoenda maeneo kama ya church wanakua wameshaaribu kifupi ukisikia tu Cv yake unakata tamaa na wazee wa conference wengi wako desperate....kama wewe.
Kwa changamoto hizi utakuta wengi sasa wanapenda kuanzisha mahusiano na mtu aliyekutana naye kwenye social media...kiukweli wengi wa kundi hili ni wazee wa drama na fake life, siku mkikutana ni mtu tofauti kabisa na uliyechat naye kwenye platform mlizokutana.
Wadau ebu leteni uzoefu where is the best place to meet with mrs and/or mr right?
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Lm7Rc3
No comments:
Post a Comment