Friday, May 3, 2019

SAMAHANI HUOKOA PENZI



Samahani huokoa penzi,,ila tatizo wengi wakisamehewa huwaona waliowasamehe wajinga na wanyonge wao hivyo kurudia kosa mara kwa mara,,ifike hatua uvumilivu na msamaha uwe na vipimo kwa ajili ya furaha yako,,,,ukiona anachukulia kusamehe kwako kama ndo madhaifu yako,,basi ifike hatua umsamehe lakini umwambie hastahili tena kuendelea kuwa sehemu ya maisha yangu.uvumilivu wako usizidi mpaka uje ujutie maisha,,uvumilivu wako uwe na vipimo ili furaha yako isijechezewa tu na watu ambao hawajui thamani yako.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2DHWXaf

No comments:

Post a Comment