Nimekumbuka jambo hili miezi kama mitatu iliyopita nilikua jiji la dar kwa ndugu yangu ...sasa wakati naingia kulala chumbani yeye kwake ni gorofa, na unaweza kuona nje na mkabala na gorofa hio kuna eneo la parking ya magari, nilipozima taa wakati natazama nje kuangalia mandhari nkashangaa kuona gari lipo wazi siti za nyuma, kuvuta picha vizur ya macho nkaona mwanamke kalala huku njemba linamshuhulikia kwa juu ...dah ...nkabaki mdomo wazi ikabid niendelee kufaidi "muvi" ile kwa muda, kama hio haitoshi, wakashuka jamaa akawa anamshuhulikia mwanamke akiwa kakaa staili ya kuchuma mboga dah halaf maeneo.yale alikuepo mlinzi, sasa sijui alikua hajui kinachoendelea ..
nkasema usiku huu kwenye magari kama likiingia joka huko ndan ya gari ..ina mana hoteli na lodge hamna basi ikanipelekea kuamini ya kwamba hawa wataka wachepukaji...ni hatari sana mana sidhani kwa mtu unayempenda na mahusiano yenu ni open mnaweza kufanya sex ndani ya gari usiku kwenye parking za magari sasa sijui ni mbinu mpya ya uchepukaji kwamba watu wakitoka maofisin usiku wanabaki kwenye magari na kumalizana huko huko ama vipi..jamani tuweni waaminifu tuache cheating.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2IRXYkn
No comments:
Post a Comment