Sunday, May 5, 2019

MFALME WA THAILAND AMUOA MLINZI WAKE



Mfalme Maha Vajiralongkorn mwenye umri wa miaka 66 amemuoa Suthida mwenye umri wa miaka 40
Suthida ambaye kwa sasa ndiye malkia wa Taifa hilo aliwahi kuwa Mhudumu wa ndege kwenye shirika la Thai Airways kabla ya kupewa kazi ya kumlinda Mtoto wa Mfalme



Maha Vajiralongkorn alirithi ufalme wa Thailand mwaka 2016 baada ya Baba yake, Bhumibol Adulyadej kufariki dunia
Hii ni mara ya nne kwa Mfalme huyo kuoa

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2V1R1if

No comments:

Post a Comment