Monday, May 6, 2019

MAPENZI NI MAKUBALIANO



Unapomwambia mtu unampenda au unamuhitaji kimahusiano,,tegemea majibu ya aina mbili kukubaliwa au kukataliwa.
Ni kweli unapomfata mtu matarajio yako makubwa ni mtu huyo kukubaliana na utakachomwambia,,,,je ni kweli utakachosema utakubaliwa?
Hapana kuna vingine vinashindikana na ndio mana kuna wakati unamtongoza msichana anakukatalia,,,,haimaanishi wewe hufai au ni mtu mbaya bali yeye kwake hakubaliani na unachokisema.
USIJISIKIE VIBAYA KWA KUWA ULIYEMFUATA KAKUTAA UKAJIONA UNA KASORO,HAPANA UKO SAWA NA YUPO ATAKAYE KUPOKEA HIVYO HIVYO ULIVYO #MAPENZI NI MAKUBALIANO NA SIO KULAZIMISHANA,,UTAUMIA.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2J3FrBD

No comments:

Post a Comment