Habari yako mpendwa msomaji wangu,,natumaini upo salama na Mungu anatenda miujiza ndani yako,,,,Leo nimeona tukumbushane Maneno 3 muhimu Ktk mahusiano,
"nakupenda, samahani na asante".
Matumizi ya maneno haya yamepungua Sana ktk mahusiano yetu na Kwa wengine hayapo Kabisa.
Na Hii ndio sababu ya break-ups nyingi.
Tafakari na uvae uhusika ktk hil, utaona direction ktk mahusiano yako hasa Kwa wale walio Ktk Ndoa.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2DRXExR
No comments:
Post a Comment