Linapokuja suala la kuwa na life partner oa/olewa na mtu unayempenda kwa moyo wako wote,,kamwe usijidanganye kuolewa/kuoa na mtu ambaye haumpendi kwa kisingizio kuwa utajifunza kumpenda.
Love is all about feelings,,,,mapenzi sio learning institutions,,ukiyageuza kuwa mtaala huwezi Kugraduate hata certificate course.
Pata mtu ambaye atakuchangamsha kihisia na kiakili,,mtu ambae hata ubadilisha ule ubora ulionao,bali atakuongezea thamani NA kuwa bora zaidi,,,hakuna kitu kizuri kama kuwa mkweli wa nafsi yako,,funga ndoa na mtu ambae yupo kama rafiki kwako,,mtu ambae utaweza kushare nae vitu vyako vidogo vidogo vya kila siku mpaka mipango mikubwa ya maisha yako.
Mtu ambae utatamani uwe nae mwanzo na mwisho wa siku,,usioe/kuolewa kwasababu tu muda wako umefika,bali fanya hivyo kwasababu umepata mwenza sahihi na bila kujalisha ni kiasi gani muda umeenda.
Mtu ambae ana roho nzuri,,,mtu ambae haogopi kukuonyesha kwa kiasi gani anakupenda,,mtu ambae anakutia moyo,,ukipata mtu wa aina hii kuwa mkweli kwake,,onesha shukrani kwa Mungu na mpende siku zote za uhai wako,,mtu huyu ambae amekupa nafasi ya kushare maisha yake na wewe ni sahihi kwako.
With good and focus partner by your side,you will succeed by God's grace.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2V3zXst

No comments:
Post a Comment