Je Kuna Ukweli Kuwa Wanawake Weusi ni watamu kuliko weupe
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia watu wakisema wanawake weusi ni watamu kuliko weupe, hili lina ukweli wowote? Wakuu kuna mwenye kufahamu ukweli kuhusiana na hili atujulishe.
Karibuni tujadili hapa chini:
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2J60TVT
No comments:
Post a Comment