1. Poteza ufahamu.
Unapokuwa kitandani na mwanamke – inabidi ufahamu wako wa kawaida uuache nje. Usipofanya hivyo, mwanamke wako kwasababu anajua unampenda sana, na yeye anakupenda sana, hatakama hajaridhika, atajaribu kuigiza kuwa karidhika ili akufanye wewe ujisikie vizuri au kidume * wakati kimoyomoyo anatamani mwanaume ambaye agekuwa ana mfikisha kileleni badala ya kuigiza vile*.
2. Unajilaumu.
Kwa baadhi ya wanaume, huwa wanaangalia na kuzingatia kama kumfikisha mwanamke kileleni kama ni ushindi mkubwa – ni kweli. Na hii inawafanya wao kila baada ya game kuwauliza wanawake zao – umeridhika baby? Akikataa – unajilaumu kwa kuwa mbovu kitandani, kwa picha hiyo – wakati unaofuata huyo mwanamke lazima aigize kuwa karidhika ili ufurahi na uache kujilaumu.
3. Unamlalamikia.
Ulishawahi kumlalamikia mwanamke wako au mke wako kwamba hashughuliki vizuri wakati mnapokua kitandani? Je ulishawahi kumfokea kwa hasira na kumwambia maneno kama *kwanini haushughuliki? na kwanini husemi kama nakuridhisha kitandani?*!!!”. Hapo next time lazima awe feki babu!.
4. Unakasirishwa mapema.
Unaweza usimwambie kwamba umekasirika, lakini sura yako tu itamwambia kwamba haukufurahia kwa sababu yeye hajafika kileleni. Na kila wakati unavoonekana umekasirika, unamfanya naye ajisikie vibaya, kitu ambacho kitamfanye aigize kuwa anajisikia vizuri wakati hata chembe mawazo yake hayapo huko kabisa.
5.Kuropoka.
Kuna wakati unajikuta umeropoka neno ambalo halifai na hivyo linamfanya ashtuke na kupoteza mood kabisa wakati mpo katikati ya mapenzi. Na kwa maana hiyo, anajiona kama si kitu, au kituko na kukasirishwa nacho!.
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2FQol7l
No comments:
Post a Comment