Ndizi ni kati ya matunda na vyakula tamu sana katika jamii ya kiafrika. Mbali na utamu wake, wajua kuwa ndizi huongeza nguvu za kufanya mapenzi? Je, wajua kuwa ndizi huongeza nguvu za kiume? Miili yetu hutawaliwa na homoni. Vitamini B na Bromelaini ambazo hupatika kwa mandizi huchangia kuongezeka kwa homoni fulani ya kufanya mapenzi kwa wanaume. Habari Nyingine: Mkuu wa Itifaki(Protocol) wa Raila ajiuzulu kwa kuhangaishwa Pia, zinakupa nguvu zaidi inayomstahimilisha anapofanya mapenzi na kumfanya amtosheleze mpenzi wake kimapenzi. Ukweli ni kuwa ndizi uchangia kwa kusafisha mishipa ya damu, kusaidia kupitisha damu na pia hupatia moyo nguvu zaidi. Hivyo basi, ndizi hazisaidii tu kuongeza nguvu za kiume, bali pia huponya wanaume wasio na nguvu za kufanya mapenzi, yaani impotent. Habari Nyingine: Makosa sita ambayo wanaume hufanya kabla ya kufanya mapenzi! Pia, ndizi husaidia kupunguza mrundiko wa mawazo(Stress) ambao huwa ndiyo tatizo kuu la wanaume linalowafanya kutosimamisha mkuki. Hivyo basi kwa njia hii ndizi yawezaboresha utamu wa mapenzi kitandani. Anza kula ndizi kwa wingi . Ukila aghalabu moja kwa siku itakufaa. Na kabla kwenda kukutana na mpenzio, kula ndizi moja au mbili kwa sababu pia harufu yake ni nzuri, mdomo hautanuka.
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2MbOwcB
No comments:
Post a Comment