Ipo mitazamo mingi ya uongo katika mahusiano,,,ni jambo zuri kuwa mkweli katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa lakini kuna muda uongo unahitajika ili kuimarisha mahusiano,,,,,sio kila jambo unatakiwa kumweleza mwenzako ukweli,,,changanya hapo na uongo ukweli,,,jifunze kuwa ukweli muda mwingine huwa ni sumu katika mahusiano.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2HV9CJJ
No comments:
Post a Comment