1.Mwanamke anayekasilika hovyo na LAZIMA akuoneshe kwa vitendo kuwa amekasilika,,atabamiza mlango wa gari au chumba,,atamwaga chakula,,atarusha kitu,,atapiga meza au ukuta.
2.mwanamke anayenuna hata kwa kosa dogo(anaweza kuzila kula,kulala chini,kuzima simu,kujifungia ndani,kukataa kupika).
3.Mwanamke ambaye analazimisha ufanye anachotaka;wanaume asilimia 98 wanasema wanapandwa kichwani,,mwanamke anapaswa kushawishi na kubembeleza(atapata kila kitu)ila sio kulazimisha kwa ukali kwa kigezo cha kuwa wewe ni mke au mchumba.
4.Mwanamke ambaye anaongea na mwanaume kwa sauti ya ukali;mwanaume hata akikosea,,ukitaka asikuone kero chunga sauti yako mwanamke,,mwambie mumeo ukweli lakini sauti yako ndio itaamua akusikilize au akupuuzie au akupige makofi(kama hana hekima za kusikilizana na wapumbavu kama wewe)ewe mwanamke,hasira ni sumu ya kwanza katika mahusiano yako,,hasira inawafukuza wanaume wengi,,sisemi uifiche bali uitafutie dawa ifike hata asilimia 5 tano tu ya kukusaidia kuukasilikia umasikini na ujinga.
HIVI KWELI HUJUI AU KIBURI TU,,HUJUI KUWA;
Mume hakunjiwi sura.
Mume hagombezwi
Mume ni bwana wako sio mtoto wako
Mume ni kichwa cha familia
Mume hadharauliwi
Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,,hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu.

from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2J8JLxm
No comments:
Post a Comment