Tuesday, June 4, 2019

SIO KILA UNAPOHARIBU MECHI BASI UNA UPUNGUFU,MAMBO HAYA YANAWEZA KUWA SABABU




Kuna baadhi ya wanaume hasa wale waliodumu kwenye mahusiano KWA muda mrefu huanza kutumia dawa za kuongeza dawa za kuongeza nguvu za kiume ilihali hawana kabisa tatizo hilo,,, hii hutokana na kupunguza kwa ufanisi katika penzi ambapo huhisi huenda wana matatizo
ZIFUATAZO ZINAWEZA KUWA SABABU ZA KUPELEKEA TATIZO HILO
KUZOEANA AU KUKOSA UBUNIFU
Hii huwatokea hasa wale walio katika mahusiano ya muda mrefu na mwanamke mmoja,,,hutokea ile hali unamzoea mpenzi wako na kupungua ashki ya kimapenzi juu yake.Hivyo ili kuendelea kuimairisha hisia za mapenzi,inabidi kuwa na ubunifu,,kupeana muda fulani wa kupumzika bila mapenzi na pia kunogesha penzi siku hadi siku.
KUKOSA UPENDO
Ikiwa huna upendo wa ndani kabisa kwa mpenzi wako basi tegemea kuna muda utakuwa huna hamu ya tendo la ndoa,,na hata ukijihusisha nae basi ufanisi utakuwa hafifu.
MAJUKUMU YA MUDA MREFU
Uchovu unaweza kuleta upungufu wa nguvu za kiume,,na hivyo usipokuwa makini unaweza kuanza kutumia dawa za nguvu za kiume wakati huna tatizo hilo tu ni uchovu tu.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2QLg48F

No comments:

Post a Comment