Tuesday, June 4, 2019

MATOKEO MAZURI KATIKA MAHUSIANO YENU YANATEGEMEA SANA KIWANGO CHENU CHA MAWASILIANO



Habari yako msomaji wangu,, namshukuru Mungu KWA kuwa sehemu ya wale ninao share nao ufahamu huu ambao ni dawa katika mahusiano yetu,,Leo ningependa nigusie jambo la matokeo mazuri katika mahusiano,,wengi tunatamani mahusiano mazuri na matokeo mazuri lakini kuna sehemu tunakwama na ndiyo sehemu kuu,,pasipo mawasiliano mahusiano yenu jua yatapoa,,mawasiliano yanakufanya umjuwe vizuri mpenzi wako kuliko unavyodhani,,,ni vizuri ukajua pia mawasiliano ni kipimo cha upendo,,katika mahusiano lazima mpenzi wako akupe kipaumbele hasa katika mawasiliano maana ndipo penye ustawi wa penzi lenu,, hata ukiwa bize kiasi gani mpe hata dk 3,,mjulie hali mfanye afurahi,,ajione wathamani na mwenye kupendwa.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Kq2kPz

No comments:

Post a Comment