Saturday, May 25, 2019
WANAWAKE TU;ZIFAHAMU SABABU ZA KUJAMBA UKENI NA TIBA YAKE
Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi sana tena sana na wanashindwa wafanye nini kulitatua tatizo hilo na pia wengi hawajui ni kitu gani husababisha hali hiyo,,,,,,na tatizo hili hutokea zaidi lake unapofanya mapenzi hasa ile style maarufu mbuzi kagoma kwenda,,,,,sababu mwanamke anakuwa ameinamisha kichwa chini kiuno juu hivyo huruhusu hewa hiyo kutokea ukeni,,,hali hii hukosesha raha na kutojiamini kabisa na saa nyingine hukufanya usitake kuwa na mwenzio,,,,,vile vile ni aibu haswa kwa wale wenye ndoa mpya utatamani ardhi ipasuke utumbikie,,,lakini haki hii tunaisababisha wenyewe tena kwa uvivu tu tunaoufanya wenyewe,,
SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI NA TIBA YAKE
KUTOJUA KUJISAFISHA UKENI
Kwa wale wanawake wasiojua kujisafisha vizuri ukeni tatizo hili lazima litakukuta,,,kwa hali hiyo basi uke unatakiwa kuusafisha vizuri na kwa makini na inavyotakiwa kuwa pia hakikisha baada ya kuusafisha unafuta na kitaulo maalumu cha kufutia sio unafuta na kanga ulioshindia kwenye mavumbi,,,
UTUMIAJI MAJI MOTO;ukiwa unapenda kutumia maji moto kuosha uke tatizo hili lazima likukumbe maana maji ya moto hulegeza uke na kuufanya uwe unatoa harufu chafu wakati wa kufanya tendo la ndoa na baada,,unachotakiwa kufanya ni kutumia maji baridi kusafisha uke,,,haya husaidia kubana misuli ya uke pamoja na kuwalinda bacteria ambao ni walinzi wa uke kwa ujumla,
KULEGEA KWA MISULI YA UKE;misuli ya uke ikiwa imelegea husababisha vijambo kwenye uke kutokana na uke kuwa wazi,
ULALAJI NA SHAHAWA UKENI;kwa wale wanawake wasiojisafisha baada ya tendo la ndoa hali hii lazima itakukuta,,,hutakiwi kulala na shahawa ukeni kwasababu zinalegeza uke na kupunguza joto asili la uke,,,vile vile kulala na shahawa bila kunawa husababisha uke kutoa harufu mbaya,
USAFI PINDI TUMALIZAPO TENDO LA NDOA
Unapomaliza kufanya tendo la ndoa mfute mumeo pia na wewe jifute,,,nendeni bafuni ikibidi muoge sio mkimaliza unageukia upande wa pili unaanza kukoroma,,,,shahawa kibao ukeni,uke unapoa na kutepeta,ukifika bafuni chuchumaa kwa muda kuruhusu shahawa zitoke kwa urahisi jikamue kidogo ili shahawa zitoke vizuri kisha osha na maji baridi.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2wiJZfb
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment