Wednesday, May 22, 2019

TENGENEZA KUMBUKUMBU NZURI KWENYE MAHUSIANO YAKO



Kwenye mahusiano kuna baadhi ya mambo mnaweza kutofautiana kama binadamu wa kawaida lakini pia kama mlitengeneza kumbukumbu nzuri za furaha na amani ni rahisi kusameheana na kuendelea na mahusiano yenu kama kawaida,,
Kumbukumbu za matukio hasa furaha zina nguvu ya kujenga mahusiano yako kila siku,,,kwahiyo jitahidi unapokuwa kwenye mahusiano mfanye mwenzako awe na furaha na si huzuni.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2W2FzZm

No comments:

Post a Comment