Thursday, May 23, 2019

MWANAMKE YAKUPASA KUTENGENEZA MAISHA YAKO KIROHO,KIAKILI NA KIUCHUMI KABLA HUJAWA MKE WA MTU



Msichana/Mwanamke unayetamani kuolewa hii inatakiwa uifanyie kazi,,,kwasababu wanawake baadhi huwa wanafikiria ndoa ni sehemu ya starehe kwa kuwa wanaenda kuishi na watu wanaowapenda sana,,,lakini ukweli ni kwamba unapotaka kuolewa lazima ujiandae kiakili,kiroho,,kiuchumi kwasababu unaenda kuwa mama wa familia,,
Na kumbuka kuwa kila mama anatakiwa awe kiongozi bora wa familia yake ili kujenga familia imara,,kwahiyo akili yake inatakiwa kufanya kazi ili kuiendesha vizuri familia yake,
Kujiandaa kiroho unatakiwa uisimamie familia yako kwa maombi katika furaha na huzuni ili Mungu awatangulie katika mipango yenu,,,
Pia kiuchumi unatakiwa kujianda kwasababu kama mume wako amepata tatizo basi unaweza kuiendesha familia bila kuteteleka.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Ex98r8

No comments:

Post a Comment