Mapenzi ni kama siasa,,,awamu yako ikiisha anakuja mwengine,,,,sasa wewe ukijifanya Mugabe utaambulia maumivu,,,,ukijifanya king'ang'anizi wa mapenzi utaumia daima,,,,,,jifunze kuruhusu moyo wako kupokea mabadiliko inapobidi ili kuepusha maumivu yasiyo na ulazima.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2M698EG
No comments:
Post a Comment