Friday, May 3, 2019

LEO BADO KIDOGO NIMLE TIGO MTOTO WA MAMA MWENYE NYUMBA



Utakutana na msichana mzuri na mwenye muonekano wa kuvutia, akiwa na rika la kuanzia miaka 23 hadi 26 lakini mawazo yake ni mgando. Anatumia uzuri wake kama chombo cha kubadilisha mabwana na kuwaburudisha. Itakuta msichana yupo kwenye uhusiano lakini hajui kwanini yupo kwenye uhusiano huo, hajui hatma ya uhusiano huo. Anachokipata kwenye uhusiano huo ni kutumika kingono na kupewa pesa ya kubadili simu mawigi, nguo na viatu, na wengi hata pesa hawapewi wala hawathaminiwi ila wapo kwenye mahusiano tu.
Mbaya zaidi, utakutana na msichana yupo busy kwenye uhusiano na mume wa mtu na anafanya kila liwezekanalo kuhakikisha anatumika kingono bila kuhofia kwamba anaiteketeza ndoa ya msichana au mwanamke mwenzie.
Hivi unajua maumivu anayoyapata mwenzio unapokuwa busy na mumewe? Na sio kwamba hujui kuwa huyo mwanaume ana mke wake, ila unachokifanya ni kuangamiza ndoa ya mwenzio. Nakuhakikishia dhambi hiyo haitakuacha salama kamwe.
Unaruka ruka na waume wa watu, unaruka ruka na vijana wasiokuwa na mipango ya maisha, muda wako unaupoteza bure bila msingi wowote kisa tu umeifanya akili yako kuwa mgando.
Unaanza kuhitaji ndoa ukiwa umeshafikisha umri wa kuanzia miaka 29 na kuendelea, muda umekuacha, dhambi ya kutojithamini na kutumika hovyo kama choo cha stendi inaanza kukutafuna, dhambi ya kutembea na waume za watu inaanza kukurudia, ndoa hakuna, uzee unaingia, uzuri unakwisha.
Unaanza kujiwazia basi kama hakuna wa kukuoa bora upate mtoto. Hapo ndipo unapozidi kuongeza dhambi ya kumleta mtoto duniani aje kuteseka.
Hivi ni mdudu gani alikuwa akiishambulia akili yako wakati wanaume walipokuwa wakikufata fata? Ukajikuta mahiri sana wa kutongozwa na kuvunja mahusiano yako unavyotaka. Hizo ndio athari zake.
Acha niwaambie kitu dada zangu mnaohitaji kuolewa muda huu na hakuna wa kuwaoa, ikiwa mlipoteza muda wenu kwa watu ambao hawakuwa na future juu ya maisha yenu basi inahitaji kazi ya ziada kuipata ndoa. Ndoa haiji kama kimbunga, ndoa ni mpango wa Mungu kwa mtu mwenye nia na aliyejizatiti vyema kitabia, busara uvumili katika siku zote za maisha yake
Huwezi kuvunja ndoa za watu ukategemea kupata mme bora
Thamini muda wako jithamin

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2ZTTM9d

No comments:

Post a Comment