Tuesday, July 30, 2019

FAHAMU MAMBO AMBAYO MWANAMKE HAWEZI KUMWAMBIA MWANAUME

Kwa wasomaji wa safu hii, kwa hakika wamekuwa mashahidi kuwa uhusiano wao na wenzi wao umekuwa imara sana.
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wote ambao huwasiliana nami moja kwa moja kwa njia mbalimbali; wengine wakinipongeza kwa kazi hii huku wengine wakiomba ushauri kuhusu mambo mbalimbali ya uhusiano wao.
Tuendelee na mada yetu. Katika mapenzi, kila mmoja huwa na hisia zake moyoni, kwa bahati mbaya hisia hizo haziwezi kuonekana kwa macho na ni vigumu sana mtu kutoa hisia zake za siri.
Mara nyingi imekuwa ikitokea wapenzi kuzungumza kwa vitendo zaidi kuonesha kilichopo moyoni mwake.
Wachache walio katika uhusiano wameweza kung’amua siri iliyopo moyoni mwa mwandani wake, kwa wanaoshindwa hubaki wakifanya mambo ndivyo sivyo bila kujua wanawaudhi wapenzi wao kwa namna moja ama nyingine.
Leo nitazungumza zaidi na wanaume kuhusu siri hizo. Umeshawahi
kujiuliza, kila unayomfanyia mpenzi wako anayafurahia au yanamboa?
Linaweza kuwa swali gumu sana kwako, lakini leo nimekuletea siri nzito
usizozijua, walizonazo wanawake mioyoni mwao juu ya wapenzi wao.
Inawezekana huzijui, hii ni nafasi yako ya pekee kuzifahamu, kujifunza
na kuchukua hatua.
Kuzifahamu kutakusaidia sana maana kwa bahati mbaya wengi hawapo tayari kueleza kuhusu siri hizo.
NI NINI?
Kabla ya kuanza kuainisha siri walizonazo wanawake wengi mioyoni mwao juu ya wapenzi wao, ni vizuri kwanza nikaelezea maana halisi ya siri za moyoni.
Hizi ni siri za ndani, ambazo mhusika hushindwa kuzitoa kwa
hofu ya kuachwa na mpenzi wake. Hapa namaanisha kwamba hata kama kuna kitu utakachomfanyia na hakipendi, huwa vigumu sana kwake kukueleza wazi na badala yake hubaki akiumia, akisubiri muujiza wa mabadiliko yako!
Wakati mwingine huamua kukueleza kwa ishara ambazo wanaume waerevu huelewa na kuweka mambo sawa, lakini wale wasio na uelewa bapa hubaki wakivurunda kila siku katika uhusiano wao.
Hii ni mada muhimu sana katika maisha ya wapenzi, ila kumbuka
inakuhusu sana wewe mwanaume unayesoma na kukuweka sawa hata wewe mwanamke unayeteseka na siri hizo.
Baada ya kuona siri hizi ni vizuri ukamchunguza mpenzi wako na mwisho wa siku ufanye mabadiliko katika penzi lako ili kila mmoja afurahie kuwa na mwenzake.
Sasa tuanze kuziona siri hizo.
KUHUSU UAMINIFU!
Kwa mtazamo wa kawaida unaweza usione kama hii ni siri, lakini
tunapozungumzia uhusiano hili ni siri nzito kwa mwanamke! Wengi
wanafikiri kuishia kumwambia mpenzi wako unampenda pekee inatosha kumfanya aamini kila unachokifanya.
Hili halina ukweli hata kidogo, mwanamke anapenda uwe mwaminifu katika kiwango cha mwisho kwake, hataki kuwa na mashaka na wewe katika kila unachokifanya.
Anatamani kuwa salama hata utakapokuwa mbali naye kwa sababu za kikazi au mambo mengine. Ili uaminifu huu ambao mwanamke anauhitaji kwako uwepo, lazima uwe na penzi la dhati kwake, uwe huna ‘kimeo’ chochote nje.
Kwa maana hiyo, wakati mwingine mpenzi wako atakuwa huru na simu yako.
UKIMYAHii ni siri nyingine iliyojificha mioyoni mwa wanawake wengi, inawezekana kabisa hujawahi kumfikisha kileleni tangu mlipoanza uhusiano wenu, lakini hawezi kukuambia.
Anabaki kimya tu. Anajitahidi kukufanyia vitu fulani vya hapa na pale ili ugundue kuwa unachokifanya hakipendi, lakini kwa sababu wewe unajifikiria peke yako inakuwa vigumu kugundua moja kwa moja kwamba mpenzi wako hajafurahishwa na wewe faragha.
Tatizo kubwa katika hili ni kwamba, wanawake wengi huonyesha kufurahia sana wanapokuwa faragha na wapenzi wao kwa nia ya kukufanya usijisikie vibaya, uone kwamba kazi unaiweza, lakini moyoni mwake anaumia na anawaza kutafuta mwingine atakayeweza kumkata kiu yake ipasavyo.
Inawezekana akawa anakupenda kuliko kawaida, lakini kwa kosa hili ni
rahisi sana kutafuta mwanaume mwingine ambaye hata kama hatampenda, lakini awe na uwezo wa kumfurahisha ipasavyo faragha.




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2Ms0mzg

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO WANAUME WENGI WANAVUTIWA KUWA NAO KIMAPENZI

1. The childish woman
There are some men that like childish women. They may appreciate the fact that this type of women is cheerful, playful and represents sunshine in their dull or stressful life. However, try not to exaggerate. Sometimes they need you to act responsible and wise.
2. The mysterious lady
I think all men like a bit of mystery in a woman. They don’t mind the large doses of mystery either! All men try to get behind “the mask” of a woman, to discover her secrets. Thus, you should always keep a bit of mystery in your life, to spice up your relationship.
3. The s3x addict
Tell me a man who would not be interested in such a woman…It’s their basic instincts working. This doesn’t guarantee, however, that he will marry such a woman, or that he would like a serious relationship with her! Do try to act like one from time to time, and only when you are alone, this will certainly “inspire” him…
4. The Vi.rginal
Many men feel attracted to the purity of a woman. Especially these days, when finding a woman of this type is kind of difficult, don’t be ashamed if you are one. What’s more, acting shy or seeming not to have a lot of se.xual knowledge will make many men go crazy about you. Most of them enjoy acting as teachers, so you might want to allow them too, there’s nothing to lose…
5. The action woman
Yeah, they like the Lara Croft type, you know it already. But there’s no need for you to go so far. Something as simple as a bike ride, for example, is a good way to win his admiration. If you like climbing, if you know how to ride a horse, if you save your cat from trees on a regular basis, or if you are the sportive type, then you might want to show off. Men find action women really sexy.
6. The spoiled type
They like women that look spoiled, or like to spoil themselves, but do not exaggerate, because being spoiled has 2 faces: while spoiling yourself in bed at night or with a new bag and a massage is great, spending all your money, or worse HIS money, on shoes is not attractive anymore.
7. The confident lady
There’s nothing sexier in a man’s eyes than a woman who is sure of her qualities, likes her own body, knows what she wants and has an accomplished career to boost her confidence. However, do ask for his help from time to time; showing him that you sometimes need him does wonders for his self respect and will make him feel comfortable when in need to ask for your help.
8. The motherly sweetheart
Men like women to act motherly; it is because most of them are “big babies” and they are used to be taken care of – their mothers did that for a long while, in most cases. Moreover, they will typically look for women that resemble their own mothers. It is also true the other way around, so don’t blame them for it.
9. The diva
Though they find divas sexy, they will rarely have the courage to approach them. So, if you are the diva type, you might want to give him a sign that you are interested in him. Otherwise, you might find yourself desired by many but alone…
10. The unconventional woman
Same as with the childish type, men like women who make them smile. Eccentric women will be noticed by everybody. Not all men think that unconventional is sexy, but some really do. So, o need for you to change, unconventional is sexy and fun!




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2LQevXE

WANAUME WASIO NA KIPATO NI WAZURI KITANDANI, ZIPO SABABU NNE

Wanasayansi wanasema.
Pesa sio kila kitu, watu.
Kamwe sitajidai kuwa najua mapenzi , au nina uzoefu mkubwa wa mapenzi duniani, lakini  ni kuongea na wanawake wengine tofauti tofauti  kuhusu wanaume  na tabia zao za  sex.
Wengi wao hulazimisha: wanaume wasio na pesa  ni wazuri kitandani.
Huniamini mimi? Hapa kuna sababu  nne tu  za wanasayansi zinazoaminisha hicho:
1.Wao hufanya kwa ajili ya kile walichokikosa.
Theory yangu mwenyewe inasema kirahisi kwamba, ‘’broke’’men wako vizuri kitandani kwa sababu   wao hujisikia hitaji  kwa ajili ya kile walichokikosa kule- nilipomuuliza mtu ambaye ni bingwa wa mahusiano , alielezea, kama mwanaume ana kipato kidogo kuliko wanaume wengine   hufikiria kitu cha kuweza  kuuteka moyo wa mwanamke, hupenda kuonyesha  mwanamke kwamba ana ujuzi  mkubwa kitandani kuliko mwingine.lakini ningeita hio ni kufanyia kazi kwa ulichokipata, sio  juu ya fidia.
Alisema pia,’’ wapo kuangalia zaidi sifa ya maisha kuliko  maisha ya  Anasa.- na hio sifa ya maisha  ni  nzuri sana’’great’’ frequent sex.’’
2.Hawana Msisitizo juu ya kazi.
Watafiti wamegundua kwamba  asilimia 56 ya wanaume  wenye pesa kidogo  kuliko wake zao  imedaiwa  kuwa wako ‘’hot’’ au’’ very good’’ katika swala la sex,katika kulinganisha na kipato chao. Kwa nini? Hawana  mawazo yoyote inapokuja  kutafuta kitu pesa.
Mtu moja alisema, na ni kweli kwamba. Simtetei yule mwanaume ambaye ataacha kazi kwa ajili ya  kuboresha  swala la sex, lakini ni sababu nyingine kwao kwa kuungana na  wanawake  katika kampeini ya  kijinsia usawa ulipe.’’
Oh, sielezei asilimia 90 ya  wanaume wenye kupata kipato kikubwa  pia walisema  ndoa zao zingekuwa na furaha.
3.Kudanganya kwao ni mwiko, uwezekano wa kudanganya ni mdogo.
Mtafiti mwingine  aligundua kuwa  wanaume ambao wako daraja la juu katika jamii ni rahisi  kudanganya  na kuongopa, sijui kuhusu wewe, lakini ukirudi kule nyuma kitandani nyie wanaume ndio mna macho ya kuona , na mikono na vitu vingine kwa ajili yako. Fikiria mwenyewe , utaona kama ni kweli au sio.
4.Huangalia Ego zao Mlangoni.
Wanaume wenye kipato  kidogo  pia huwa wanajisikia kuwa wana haki ya kutosheka wao tu , kwa sababu hawana hisia za kumilikiwa  na mwanamke na si hivyo tu  bali huingia daima kufahamu  hawako radhi juu ya kiimo ama mfuko wa thamani wa dhamana?
Maadili ya hadithi:  usije ukamwacha mtu haraka eti kwa sababu hizo,  sasa unataka wakavunje benki. Nafasi ziko hapo.  Wanaovunja benki ……..uh, mambo mengine ..’’wink’’
Usimdharau mtu kwa kila alichonacho, kama ana pesa  au hana pesa, shughulikia tatizo.
Mindset, ndio kila kitu.




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2GE1egv

FAIDA ZA MWANAMKE KUKATIKA KITANDANI

Ukamilifu wa mwanamke sio tu kujua aina za mapishi, kutoa penzi, kuwa mwepesi wakati wa kungonoana, mwenye kulipenda umbile lake zuri alilojaaliwa na Mungu, usafi na mwenye kuvutia  bali pia uwezo wa kujua kumuwahisha mpenzi hasa kama mpenzi wako ni mmoja kati ya wale waliojaaliwa kwenda “mwendo mrefu” au kazoea kujizua na hivyo anashindwa kujiachia ili awahi….
Au inawezekana kabisa bao la kwanza kutoka kwake mpenzi wako linakuja haraka (kawaida kwa wanaume wengi hasa kama anahamu  sana)lakini yatakayofuatia yanachukua “mwaka” hali inayoweza kukufanya utake kumuona mpenzi wako anakuja tena na tena….
Unaweza kujitahidi kumfanyia manjonjo na masham-sham ili ashindwe kujizuia na kumaliza mapema lakini njemba haifiki walanini….. hii ikitokea usikate tamaa na kujishtukia kuwa huwezi “game”….”game” unaiweza ila hujampatia tu……sasa nitakupa kambinu ambayo mwanaume yeyote hawezi kujizuia ikiwa utazipatia mbinu  hizi.
Kumbuka unapofanya hii mbinu lengo ni wewe na yeye kufurahia hivyo haijalishi ikiwa mtafika wote au yeye kuanza………utahisi mchanganyiko wa hisia za raha, furaha, ukamili kama mwanamke na mapenzi ya dhati kwa mpenzi wako……inategemea zaidi na unavyolichukulia tendo hili takatifu, kama ni mpenzi wa tendo hili kama mimi basi utakuwa umenielewa vema.
Mkao-Kama kawaida mkao ni kifo cha mende na mtindo ni mwanamke chini…..kifo cha mende ni mkao wenye mitindo mingi ambayo haichoshi na inakuwezesha wewe mwanamke kuwa in control na kuwa huru kumfanyia mume/mpenzi wako mambo mengi kwa kutumia uke wako kuliko mikao migine.
Si kwa vile nimesema kifo cha mende basi wewe unakimbilia kitandani na kujilaza chali na kujipanua…..hapana!  cheza-cheza nae mpe ile inaitwa “stata”, au “hapitaita” kabla ya mlo kamili(hajalishi ni mzunguuko wa ngapi)….si unajua kuwa kila bao lina utamu tofauti??
I li asijue nia yako ni nini basi unapaswa “kuzuga” na kumlaza yeye pale kitandani na kuanza kumfanyia “uchunguzi wa kina kwa kutumia mikono/vidole, matiti, midomo, ulimi, mashavu ya uke…..na hakikisha unagusa kila kona ya mwili wake ambayo wewe unajua anapenda kuguswa…..
Baada ya hapo, jilaze pembeni yake na kumvuta ili aje juu yako au njia rahisi ni kukalia uume wake na kuhakikisha umeingia vya kutosha ndani yako alafu jilaze (full) juu yake bila uume kuchomoka kisha mkumbatie alafu jibilingishe nae…..hapo atakuwa juu yako moja kwa moja…..panua miguu yako vya kutosha ili kukuwezesha kuzunguusha kiuno cha ngono (sio kile cha ndombolo….).
Akisha kuwa juu yako muachie apige “tako” zake mbili/tatu yaani aende juu-chini au nje-ndani mara chache huku wewe ukizunguusha kiuno taratibu kutafuta kona nzuri ya kukibana kichwa……kisha mwambie atulize “ball” yaani hakuna ku-move…..no more takoz!
Alafu sasa, shikilia makalio yake na jaribu kuyakandamiza dhidi ya sehemu ya juu ya uke wako ili kumfanya asi-move(akitaka anaweza) lakini hiyo itakusaidia kumkumbusha kwa kumrudisha ndani kila akitaka kutoka kutokana na utamu…..na vilevile kukupa balance ya kufanya ukifanyacho.
Sasa anza kuzunguusha kiuno chako cha ngono ambacho kitakufanya uhisi kichwa cha uume kinasugua kona ya uke wako pale ulipoubana ktk mtido wa kuzunguuka, kubana na kuachia……endelea kuzunguusha kiuno chako cha ngono ktk nusu mzunguuko/duara yaani degree 180…..yaani huendi mzunguuko mzima unaenda nusu kisha unarudi ulikotoka nusu nyingine….kulia na kushoto…..
Utahisi jamaa anataka ku-move au atakushikilia kimtindo kama sio kutoa mihemo na miguno Fulani ya raha…….hatua hiyo ikifika ndio wakati wa kwenda mzunguuko mzima kwa kuongeza speed na kuipunguza…..Mf kukata kiuno cha ngono kutoka kulia kwenda kushoto ni rahisi na unakwenda haraka kuliko kile cha kutoka kushoto kwenda kulia. (inategemea kama wewe ni left heanded au vinginevyo)
Sasa unapobadilisha “rythim” kutoka haraka kwenda taratibu hakikisha unafanya kwa mpangilio huo, kwamba kutoka kulia kwenda kushoto haraka na kutoka kushoto kwenda kulia taratibu. .…Hakika ile hali atakayokuwa akionyesha kuwa anafurahia itakufanya wewe ufurahie zaidi na utahisi utamu unakaribia…..
Hapa njemba itapagawa na kupiga “tako” mfurulizo ktk harakati za kufika kileleni…..wakati anafanya hivyo “relax” kiakili lakini kimwili endelea kufanya mambo uliyoanzisha ili mfike wote.




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2YfOJ5J

KWENYE MAPENZI PESA NI MBWEMBWE TU

Katika maisha ya kindoa na uhusiano wa kimapenzi, siku hizi kumekuwa na misemo mingi inayomaanisha kuwa fedha ni kitu cha msingi sana unapozungumzia kuhusu msichana kuishi kinyumba na mvulana.
‘Hapendwi mtu hapa pochi tu’, Mapenzi Bongo?, Acha maneno hata kwenye kanga yapo na mengine kadha wa kadha. Ni misemo ya watoto wa mjini inayoonyesha jinsi gani watu wanatanguliza fedha kwanza katika suala la maisha ya uhusiano wa kimapenzi au ndoa.
Hii siyo mara yangu ya kwanza kuzungumzia suala hili. Nimesema mara nyingi kwamba ni kweli, katika maisha ya sasa, ni vigumu sana kutoihusisha fedha katika mapenzi, kwamba uwepo wake, unasaidia kwa kiwango kikubwa kuimarika kwa penzi lenyewe.
Ukitembea na kuzungumza na vijana wengi wa sasa wanakuambia ukiwa na pesa ‘utang’oa’ demu wa aina yeyote, kwa sababu huwa hawana ujanja panapo mapesa. Na hili linadhihirishwa na wengi wanapobadili wanawake kwa sababu ya uwezo wao wa kifedha.
Na hata wanawake wenyewe nao wanaonekana kuhamasika sana kukutana na mvulana mwenye fedha, kama ambavyo hata vijana wa kiume nao siku hizi hupenda wadada wenye nazo.
Lakini ninataka kusema jambo moja ili kila mmoja limkae akilini mwake, kwamba pamoja na ukweli huu wa fedha kuchagiza sana mapenzi, lakini mapenzi ya kweli yapo na yana nguvu kubwa kuliko kawaida.
Uthibitisho wa hili, chunguza au jichunguze mwenyewe unapofuatilia penzi la pesa. Kwa wavulana, wana pesa, wana mke nyumbani (wanayempenda) utawasikia wanatamka maneno kama haya “leo nataka mlupo wa maana nikapumzike nao”
Na akina dada nao, wanaoishi na waume wawapendao unaweza kuwasikia wakisema “Sijui nimpate wapi zoba ajiingize nipate hela ya saluni.”Maana ya kauli ya wawili hawa ni kuwa wako tayari kutumia au kutumiwa na fedha ili kukidhi matamanio yao ya kimwili na kimahitaji. Mvulana atataka aifurahishe nafsi yake kwa kumpata msichana kwa fedha, wakati mdada atahitaji fedha kwa kuutumia mwili wake ili mradi tu apate kutimiza mahitaji yake.
Lakini jambo tunaloweza kujifunza ni kwamba wote wana wenza wao ambao hawahitaji fedha ili kufurahi nao. Wanaume wenye wapenzi wao, huogopa kuwapa fedha zenye mlengo wa kuhonga.
Pesa hutajwa kwenye maendeleo baina ya wawili na siyo mtaji wa kumalizana kiu ya kimahaba. Unaweza kumkuta msichana mrembo anatoka na mtu mwenye fedha, lakini ukimchunguza undani wake, unakuta kuwa huko anakotoka, anaye mpenzi wake wa dhati kabisa, ambaye wakati mwingine huwa anaelewa uhusiano wa mpenziwe huyo na kibopa.
Ninachotaka wote kuamini ni kuwa hakuna kiwango cha fedha kinachoweza kununua mapenzi, isipokuwa mapenzi ya dhati yanaweza kukusanya kiasi chote cha fedha kilichopo na kukileta ndani.
Pesa ni mbwembwe tu, lakini hazina ubavu wowote wa kudhibiti penzi. Ndiyo maana unawaona wanawake walioolewa na matajiri wanatoka nje, tena na magari yenye vioo vya giza, wanaenda kuupa moyo burudani huko kusiko na fedha.
Msichana atakimbia ndoa ya kijana wa bilionea, atafurahia kuishi na mwenza wake hohehahe, ili mradi tu, nafsi yake inapata burudani iliyokusudiwa.Hujaona watoto wa kike wakijinyonga kwa kukataa ndoa za lazima? Hii ni kwa sababu wazazi wameshachukua ng’ombe na hela, lakini upendo wa binti uko kwa mtu mwingine kabisa, ambaye wakubwa hawamtaki kwa vile hawezi kutoa mahari kubwa!




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2KdIsO8

KUKOJOA KWA MWANAMKE FAHAMU ZAIDI

Kama ilivyo kwenye kufika kilele sio wanawake wote wamejaaliwa kufikia Mshindo hali kadhalika sio wanawake wote wanaofika kileleni na kumwaga kama bomba. Sasa kama unataka kujua kama na wewe unauwezo wa kukojoa kwa kusikia utamu wa ngono na kumwaga ka’ bomba mumeo atahitaji kufanya kazi ya ziada kufanikisha hilo.
Kuhisi kutaka kukojoa-Sehemu kubwa ya wachangiaji wamefananisha au kulinganisha hisia za kutaka kufika kileleni na zile za kuhisi kutaka kukojoa. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa lakini kama wewe ni mwanamke ambae hujawahi ufika kileleni na hujui hisia za utamu wa ngono ni wazi kuwa utadhani hisia hizo za kutaka kukojoa (mkojo wa kawaida yaani) ndio kufika kileleni kwenyewe lakini siooo.
Baadhi ya wanwake huwa wanahisi hisia hizo za kutaka kukojoa mara tu uume unapoingia na hapo ndio huwa wanadhani kuwa huo ndio utamu wa Ngono unaopatikana kwa kusuguliwa kipele G, vilevile wapo ambao wanapata hisia hizo tendo likiendelea kwamuda mrefu na kudhania sasa wanafikia mshindo na kuachi makojo (kwa kawaida)…..hufurahia wakihisi “nafuu” lakini unapofika kileleni au kukojoa kutokana na utamu wa ngono husikii “relief” (nafuu) kama ile ya ku-empty bladder, unasikia utamu wa hali ya juu yaani unaweza kutamani mchezo uendee tena na tena na wakati huo huo utahisi uke wako ukimwenyua mwenyua yaani kama unafunga na kuachia(kama unavyokaza misuli ya uke) which huwezi kufanya hivyo unapokojoa…..
Kama umewahi kuchezewa kisimi kwa ulimi na mumeo au hata kujichua kunahisia fulani za utamu unazipata sasa hisia hizo za utamu unazaozipata pale kisimini ndio ambazo unapaswa kuzipata unapoingiliwa ukeni na mumeo lakini itakuwa tamu zaidi kama vile mara tatu ya utamu wa kisimini.
Utamu huu wa ngono hauelezeki na wala huwezi kuufananisha unless unauzoefu na utamu huo via kisimi ndio utaelewa jinsi ulivyo…..kuhisi kutaka kukojoa na hatimae kuachia mkojo sio kukojoa kwa maana ya kufika kileleni, vinginevyo wanawake wasingehitaji wanaume wa kuwatia na badala yake wangekuwa wakinywa maji mengi ili kubanwa mkojo na kukojoa ili kuhisi utamu wa ngono.
Unajua wakati mwingine ngono ya kuingiliana (uume ndani ya uke) huwa ina-irritates the bladder(kifuko cha mkojo) na kukufanya wewe uhisi kutaka kukojoa kila unapofanya ngono nitakushauri ukamuona”Gynecologist” ili kuhakikisha kuwa huna tatizo la kitibabu ambalo linaweza kabisa kuwa Saratani au inawezekana una tatizo linaitwa Orgasmic dysfunction kwamba hujawahi kupata Kilele kwa namna yeyote ile (kama nilivyosema awali) hivyo basi upata hisia za kutaka kukojoa na unaweza kufurahia hisia hizo ukidhani ndio unafika kileleni lakini sio kilele bali kibofu chako kimejaa au kimesumbuliwa na kusababisha hisia hizo.
Kwa wanaume huenda wakawa wanahisi kukojoa kama wanavyokojoa mkojo wa kawaida kwani inasemekana (nitahakiki hili) kuwa manii/shahawa zinapita kwenye mrija ule ule ambao mkojo wa kawaida unapita hivyo kwao kuhisi kukojoa kama kukojoa as ku-empty kifuko cha mkojo haina maana na wanawake wako hivyo, kwani kitundu cha mkojo kiko kwa nje katikati ya uke na kisimi(chini ya kisimi).
Hii huwafanya wanaume wengi kudhania kuwa hisia za utamu wa kilele ni kama kutaka kukojoa lakini ukweli (kutokana na uzoefu) ni kuwa utamu wa kutombwa hauelezeki na haufananishiki na kitu chochote sio asali wala sukari…..ila utaelewa kama unajua utamu wa kisimu alafu ongeza mara 3…..au utamu wa kunyonywa kichwa cha uume kwa ustadi sasa utamu huo uwe mara 5 ndio utamu wa kilele cha G-spot! Unaweza kuzimia..



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2YxYpYz

MBINU ZA KUMVUTA MSICHANA MKONONI MWAKO


MAPENZI ni sanaa ambayo kwa hakika haitaki hasira hata kidogo. Ubunifu, utulivu wa akili na utundu binafsi ni kati ya mambo muhimu sana ambayo ukizingatia utaweza kumfanya mwezi wako afurahie uhusiano wenu.  
Hata hivyo, ukweli utaendelea kubaki palepale kuwa wanaume wengi hawapo makini sana kuangalia namna ya kumfurahisha mwanamke. Wengi akili zao huishia kuhusu namna ya kuhakikisha anaheshimika faragha, baasi!
Hayo si mapenzi. Ni zaidi ya hivyo. Kwa bahati nzuri ni kwamba, mwanamke huvutiwa na mambo madogo kabisa ya kawaida ambayo mwanaume anaweza kuyadharau tu. Katika mada ya leo, nitazungumza na wavulana. Je, unajua mambo muhimu ambayo huwachizisha sana wasichana? Yapo mengi lakini hapa nimekutayarishia yale ya muhimu zaidi.
USAFI BINAFSI
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu sana kukutana na mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana wanaitwa mapambo ya nyumba! Ni kwa sababu ya hulka yao ya kupenda sana usafi.
Mwanamke anavutiwa sana na mwanaume mtanashati. Usafi wako unamfanya ajiamini kuwa na wewe. Hata nyumbani kwako, lazima uishi katika nyumba safi. Hata anapokuja kukutembelea, anakuta mazingira safi kuanzia sebuleni hadi chumbani. Anapokukuta katika hali ya usafi, inakuwa rahisi zaidi yeye kuanzia hapo alipokukuta na kuendelea mbele.
MWANAUME ANAYE-JIAMINI
Mwana-mke anajisikia salama zaidi akiwa na mwanaume ambaye anajiamini, mwenye uwezo wa kutetea hoja zake na kujieleza sawasawa. Si anayebabaika. Suala la msimamo binafsi, kwa mwanamke ni kubwa kuliko hata kumnunulia manukato mapya! Mathalani unakuwa naye katika mtoko, angependa kukuona ukiwa katika hali halisi ya maisha yako, usiyeyumbishwa na mwenye kutoa maamuzi yasiyoyumba.
Wakati mwingine, mwanamke anaweza kukupima hata katika jambo ambalo ameko-sea yeye, ataangalia unavyotoa maamuzi yako, lakini pia atafuatilia kuona kama utakuwa mwepesi wa kuyabadilisha. Anataka kuona msimamo wako muda wote. Mwenye kujiamini na mawazo yasiyo na matege wala makengeza! Kamwe usiyumbe, simamia unachokiamini.
USIWE LEGELEGE
Kipengele hiki hakina tofauti kubwa sana na kilichopita, lakini hapa ni kwenye upande wa kujitetea zaidi. Wakati unapodai haki yako mbele ya mwanamke wako, suala la kujitetea linapewa nafasi kubwa sana. Wanawake hawapendi kuwa na wanaume ambao wapo tayari kuonewa. Wanataka wenye uwezo wa kusimama kidete kuona haki zao hazichukuliwi kirahisi.
Hili si suala la kutetea tu haki yako pekee kama mwanaume, bali inapobidi kusimamia haki ya mwanamke wako. Nisieleweke vibaya katika hili, lakini mwanaume imara ni yule ambaye ana nguvu, anafanya mazoezi na ambaye yupo tayari kwa lolote! Inapowezekana, uwe na uwezo wa ‘kuzichapa’ ikiwa mtakutana na vibaka au watu wabaya wenye lengo wa kukudhuru/kuwadhuru au kumdhuru mpenzi wako. Mwanaume aliye ‘fiti’ ni chaguo la wanawake wengi. Si mnyonge. Mpole kupitiliza na aliye tayari kuonewa! Huyu hana nafasi.
ANAYEJALI
Wanawake wanapenda sana wanaume wanaojali. Wanawaona wao ni kila kitu na wanaotoa kipaumbele kwao. Kama huna tabia hiyo, ujue upo katika nafasi kubwa ya kumkwaza mpenzi wako. Mjali mpenzi wako kwa kila hali. Kumjulia hali kila wakati na kutaka kujua maendeleo yake, kutakupa nafasi kubwa ya kuendelea kudumu katika uhusiano hai.
MSOGEZE KWAKO
Kati ya vitu vinavyowapa mshawasha mkubwa wanawake ni pamoja na kusogezwa karibu. Hapa ni kuwa naye katika mambo mengi unayoyafanya kila siku. Ni vizuri kuwasiliana naye mchana, ukitaka kujua aina ya chakula alichokula siku hiyo au ikiwezekana mchagulie. Ni mambo madogo sana lakini yanayoongeza nakshi katika mapenzi.
Yapo mengi sana ambayo kwa kuyafanya utakuwa umemsogeza mpenzi wako karibu yako. Hebu tumia ubunifu wako ili uweze kuteka hisia za mwenzi wako kisawasawa




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ypmeD8