Thursday, January 2, 2020

Story of a pastor and his love



Jack A. Schaap was the revered pastor of a Baptist church in Hammond, Indiana that averaged 15,000 attenders every Sunday. Now he is a convicted felon serving a 12-year prison sentence for sexually abusing a teenage girl who came to him for counseling. His church fired him, his wife divorced him, and his reputation and his life have been utterly ruined.
After initially taking full responsibility for his crime, which included transporting a minor across state lines for sexual purposes, Schaap sank to even greater depths of moral degradation. In a doomed attempt to have his sentence reduced, he tried to shift blame from himself to his 16-year-old victim, ui her to the court of aggressively pursuing and seducing him.
What a horrible and excruciatingly painful story! There is absolutely no excuse or palliation for the egregious offenses former pastor Schaap committed.
Yet I don’t believe there was ever a morning when this respected, and to all appearances devout, spiritual leader got out of bed and thought to himself, “this seems like a good day to take advantage of a child’s trust in her pastor, betray my wife and the sanctity of our marriage, subject my church to ridicule and shame, and totally destroy my own life.”
I suspect that when Jack Schaap thinks back over the events of the last few years, he is utterly astounded to have ended up where he is. How could this possibly have happened to him?
None of Us Is Safe
Actually, it could happen to anyone who fails to set proper boundaries for their own behavior. None of us is so strong or so holy as to be immune to temptation. That’s a lesson Scripture teaches over and over, and one that we all would do well to heed before we find ourselves in some unforeseen predicament of our own making, wondering how we ever got there.


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/35iU8Ya

The Red lights indicating marriage failure




1. You don’t share anymore
Communication is the pinnacle of a healthy, successful relationship. Are you the last to know about your partner’s decisions? Do you feel like you don’t know what’s going on in your partner’s life anymore? It’s not necessary to share every thought with each other, but being able to share your successes and talk about your problems, concerns, and insecurities is crucial.
If you find that communication has broken down or become nonexistent in your relationship, it’s a major negative indicator of the health of your relationship.
:
2. You fantasize about being single
It’s not unusual to reminisce about the “good old times” when you used to paint the town red with your single friends. But, if you find that you’re daydreaming about how much better your life would be if you weren’t married, it may be time to dig a little deeper to find out why you’re fantasizing about the single life. There may be some serious issues in your marriage that need to be addressed.
3. Arguing about the same thing over and over without resolution
Disagreements are par for the course in relationships. It’s how you deal with those disagreements that will determine the success of the relationship. Ideally, every disagreement or argument will come to a satisfactory resolution for both parties. So, if you find that every little disagreement turns into a full-blown argument, or if you keep arguing about the same issue without coming to a resolution, your marriage is in danger.


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/37DJtcv

Wednesday, January 1, 2020

Tips on how to improve your relationship this year



Tips on how to improve your relationship this year


Whether you’ve been dating your partner for six months or have been married to him or her for five years, relationships are created from commitment and are continued due to mutual respect and effort. To say your connection is special would be an understatement — and to not wish to enhance it would be unfortunate.
While every relationship is different, no relationship is perfect. By doing these 10 things to improve your bond, you won’t only ensure a quality relationship with your partner, but you’ll also prove that you’re determined to work for one.
1. Ask your partner something new
Communication is the determining factor of success for every relationship. It’s nice to ask how your partner’s day went, but it’s boring when you ask over and over again. Enhance your conversation by putting in the extra effort to question your significant other on something more specific. Through this adjusted approach, you avoid falling into routine and begin holding more meaningful discussions.
2. Designate a monthly date night
Amongst both of your busy schedules and nonstop responsibilities, the most foolproof way to guarantee that you make time for each other is to set a night every month dedicated to doing just that. Regardless of if you’re looking to spice up your relationship or wanting an activity that doesn’t include Netflix, the commitment to go on a date is one night — but the happiness that comes from it will last much longer.
3. Express your appreciation
The comfort that a relationship brings is the reason we tend to overlook what our partners do and treat their acts of kindness as our forms of expectation instead. To put it honestly, your partner doesn’t have to fill your gas tank or buy your favorite ice cream — he or she chooses to, and your acknowledgment of this type of effort will reinforce your partner to be thoughtful and remind you to feel thankful.
4. Tweak your schedule
We know — you’re independent and don’t plan on stopping your life for anyone (and you shouldn’t have to). Even though you have other commitments outside of your relationship, it’s a kind gesture to compare both of your schedules to see if it’s possible to spend more time together.
Maybe your partner can go to the gym a little earlier to attend the movie premiere you wanted to attend, or maybe you can wake up earlier to get your projects done so that you can make it to your partner’s intramural game. While you shouldn’t have to sacrifice your life to satisfy your partner, your ability to compromise should be enough to make him or her happy.
5. Remember the small things
Another way to add meaning to your conversation is to truly listen to what your significant other is saying — and talk about it in the future. If your partner mentions a conversation that he or she wants to have with a manager, take note on your calendar and remember to ask about it the day of. The fact that you’re able to refer back to the topics and details that your partner spoke about is one that will touch him or her. Overall, it’s the little things that mean the most, and there’s no better way to show this tha n starting with your relationship.
6. Let go of the past
As a culprit for many potential arguments and the underlying issue for future ones, what happens in the past doesn’t always stay there — and it’s difficult to move forward in a relationship when you’re still thinking about what happened in it from another time.
If you find yourself continuing to dwell on the past, it might be a sign to take a step back and consider why — are you naturally less forgiving or is what happened something you can’t seem to forgive? By focusing on the reason for this reccuring feeling, you’ll find more clarity within yourself and what you want from the relationship with your partner.
7. Show your affection
Along with expressing your gratitude to your partner, expressing actions to show how much you care about him or her is also suggested. From grabbing your partner’s hand at a restaurant to going to bed together at the end of the night, you know how you feel about your partner, and he or she should be able to witness it as well.
8. Learn your partner’s boundaries
Does your partner wish to be left alone when he or she is upset? Does he or she mind that you want to text throughout the day? These questions are simple, but the answers to them will help you understand the boundaries of your partner— and stop you from crossing them. Overall, your partner’s sense of privacy is most likely different from yours, and knowing his or her boundaries is the best way to respect them.
9. Know when to apologize
Sometimes being right isn’t as important as being compassionate. Whereas conflicts with your significant other will vary, not every argument is a challenge that needs to be won. Don’t get us wrong — we aren’t telling you to take blame for everything, but to decide which battles are worth fighting for. Although there’s glory in knowing you’re right, there’s maturity in apologizing during an argument that isn’t as important as the person you’re arguing with.
10. Make time to focus on yourself
How we feel about ourselves is how we’ll act in a relationship — for example, if you lack confidence in yourself, you’ll look for assurance in your relationship. To prevent any toxic behaviors from happening with your partner, it’s essential to have a strong sense of self. Invest in a new hobby, make plans with some friends, and take steps in discovering who you are as a person. By falling in love with yourself, you’ll naturally be your own best version for the person who happens to be falling in love with you


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2u5k5h2

FANYA HAYA KWA MUME WAKO.


Image result for wanandoa

FANYA HAYA KWA MUME WAKO.
1. Muite kwa jina lake la utani
2. Muache atumie mamlaka yake kama
kichwa cha nyumba.
3. Usimcheke akiwa ameumizwa na
jambo fulani. 4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira.
Unaweza ukaenda kumuomba msamaha
na kumueleza kwanini ulimkosea pale
hasira zinapokua zimemuisha.
5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha
pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale
anapokusamehe.
6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla
ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya
hivyo.
7. Waheshimu wazazi wake. 8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia
wazazi wake na kuwapelekea chochote.
Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.
9. Msuprise kwa chakula akipendacho,
hasa kipindi kile anapokuwa na msongo
wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.
10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie
chakula mume wako ukiwa nyumbani.
11. Mkaribishe kwa kumkumbatia
anapotoka kwenye mihangaiko yake.
Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.
12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa
vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka
wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.
13. Mpigie simu na umwambie kwamba
unampenda na umemkumbuka 14. Muamshe asubuhi na umpe romance
kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe
na hata jishughulisha na wanawake
wengine siku hiyo.
15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa
hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.
16. Mwambie ni kiasi gani una bahati
kuwa nae kama mume wako.
17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.
18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu
wako katika maisha yako. 19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi
mikononi mwa Mungu.
20. Tengenezeni utaratibu wa familia
nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja
kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya
kweli leo na daima.
Na wasio serious na mahusiano
wanaokupotezea muda wako wajikatae
kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya
kutimiza kusudi la Mungu kwako. Kwanini tusiseme "Amen"!
SHARE



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2tklKiA

MSAIDIENI HUYU MSICHANA:

Image may contain: 1 person
Pole na kazi, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, nina rafiki yangu ambaye nimesoma naye na ni kama ndugu yangu wa damu kutokana na tulivyo na watu wote wanajua kwamba mimi ni yeye na yeye ni mimi.
Rafiki yangu huyu nimesoma naye kuanzia O-leve, mpaka advance na sasa tupo wote chuo hapa dar es salaam, kwa kifupu ni urafiki wa damu.
Mwaka jana katikati rafiki yangu huyu alinitambulisha kwa boyfriend wake ambaye ni kaka anayesoma chuo kingine ambacho hakiko mbali na chuo chetu, kwa kweli wanapendana sana na ni kaka mzuri sana ambaye rafiki yangu anajivunia kuwa naye, na kutokana na ukaribu wangu na rafiki yangu, nimekuwa nikiwasiliana sana na shemeji yangu huyu kiasi kwamba naye amekuwa ni mtu wa karibu sana, na muda wowote asipompata rafiki yangu amekuwa akinipigia mimi, na hata mara nyingine tumekuwa tukienda matembezeni watu watatu, yaani mimi rafiki yangu na shemeji, ukaribu nilionao na shemeji yangu huyu umenifanya nianze kumthamini na kumjali hadi naogopa, mara ya kwanza nilidhani ni kwa sababu nampenda rafiki yangu, lakini kwa sasa naona imepitiliza na nimegundua kwamba nampenda huyu kaka na natamani siku nifanye naye mapenzi sababu mimi nipo single kwa sasa kwakuwa nilikorofishana na aliyekuwa mpenzi wangu.
Hali imekuwa mbaya kwani hata sasa naona hata huyu shemeji yangu nae ananipenda lakini hawezi kuniambia, natamani siku aje hostel wakati huyu rafiki yangu hayupo ili alale hapa hapa.
Kwa kweli nimechanganyikiwa kwa kifupi nahisi kuumwa kwa sababu nina mpenda kupita maelezo sema nahofia kumuumiza rafiki yangu kwani najua siku nikimpindua lazima shemeji amuache rafiki yangu aje kwangu sababu nina shepu ya kumtamanisha mwanaume yoyote.
Naombeni msaada wana jamii.
Share kwa wajanja ili wamsaidie huyu dada



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ZF2pEQ

MAMBO 10 YANAYOWEZA KUKUSAIDIA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO/NDOA

Image result for elizabeth michael
Katika siku za hivi karibuni, suala la kuvunjika kwa ndoa za watu mbalimbali limekuwa kama utamaduni ambao tunatakiwa kuzidi kuuzoea haraka kwakuwa limeendelea kuchukua kasi ya ajabu. Kuanzia ndoa za watu maarufu hadi wasio maarufu, watu walio na uwezo na hata wasio na uwezo pia, hakuna mahali ambako kumekuwa salama linapokuja suala la wawili walioungana kuishi katika kiapo chao wanachokitoa siku ya kufunga ndoa cha "ndio nimekubali"Ukosefu wa uvumilivu baina ya wanaooana/kuolewa pasipo kujiandaa kisaikolojia. kuolewa au kuoa kwa malengo fulani fulani na mambo mengine kama hayo, zimekuwa miongoni mwa sababu ambazo zimekuwa zikipelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi, tena zingine zikiwa zingali changa sana. Lakini je, unajua kuwa kuna uwezekano mkubwa wa watu wawili kuishi miaka mingi zaidi katika ndoa, kiasi cha kuweza kutimiza ile ahadi ya :ndio nimekubali kuwa naye hadi kifo kitakapotutenganisha?Hapa, ni mambo kumi ambayo ukiyazingatia, yanaweza kabisa kukufanya uishi katika kiapo chako unachokitoa siku ya kufunga ndoa
1. Fahamu, kubali na amini kuwa ndoa ni raha na karaha:Ndio, hatua ya kwanza kabisa ya kujiandaa kuhakikisha kuwa unaishi katika kiapo chako cha "ndio nimekubali", ni kutambua kuwa, maisha ya ndoa ni maisha yaliyojaa raha na karaha. Ikumbukwe kuwa, ndoa, ni muunganiko wa watu wawili ambao kila mmoja alizaliwa, kukulia na kuishi katika familia, utamaduni na aina ya maisha tofauti na ya mwenzake. Katika muktadha kama huu, aghalabu, ni vigumu kutegemea kuwa, wawili hawa watakuwa sawa sawa kimitizamo, fikra na hata utendaji wa mambo mbalimbali kuhusiana na ndoa yao. Ikumbukwe pia kuwa, kuna msemo usemao "kama watu wawili watakuwa wakikubaliana katika kila jambo, ni dhahiri kuna mmoja kati yao asiyefikiri" … na kwakuwa maisha ya ndoa ni lazima kila mmoja afikirie, basi ni lazima mikwaruzano ya hapa na pale iwepo. Hata hivyo, ni vyema pia kutambua kuwa, kuna mambo mengi ambayo yanawaunganisha, yaliyo mema na yenye kufurahisha, ambayo mnatakiwa kuishi kwayo, huku mkiamini kuwa, karaha za hapa na pale, zinatakiwa kuwemo ili mzidi kuwa imara kiimani na hata kihisia.
2. Tumia nguvu ya mguso wa mikono yako:
mara ya mwisho wewe kumshika mke/mume wako mkono ilikuwa lini? Iwe kwa kusalimiana au kwa namna yoyote ile?Kushikana mikono, ni moja ya mambo ambayo wengi huyafanya wanapokuwa wapenzi. Ni aina na ishara ya kuonyesha ukaribu wa aina fulani baina ya watu wawili. Ikiwa ulikuwa unamshika mpenzi wako mkono enzi zenu za uchumba na upenzi wa kawaida na ukawa unajisikia ukaribu naye kwa kufanya hivyo, iweje leo hii unapokuwa naye ndani usitishe zoezi hili? Kuushika na kuuchezea chezea mkono wa mwenza wako, na hususan sehemu ya viganjani, ni jambo dogo, lakini ambalo linaweza kurejesha kumbukumbu za nyuma wakati mlipokuwa mkifurahia mahusiano yenu kama wapenzi. Ni jambo ambalo linaweza kukukumbusha mambo mengi ambayo mliahidiana mazuri, mambo mengi mazuri ambayo mlibaini yanatakiwa kuwaunganisha kabla hamjaungana, na kwa hakika si jambo la kupuuzia japo laweza onekana lisilo na maana.
3. Kujihisi kutokubalika:Ni lini mara ya mwisho umemwambia mpenzi wako "Asante" … na ukamuangalia anapokeaje neno hilo? Au wewe unajisikiaje mwenza wako anapokwambia asante? Kukubali na kukubalika, ni miongoni mwa mambo ambayo huwafanya wapenzi kujihisi kuwa karibu zaidi kwa kuona wanatambulika na kuthaminiwa. Upo ushahidi wa wazi kuwa kuna watu walithubutu kujiondoa mahali walipo kwakuwa walihisi hawakubaliki kwa namna yoyote ile, na kwa hakika, ni hali yenye kuudhi na kuvunja moyo pia.Haijalishi ukubwa au ubora wa kitu, kwa wawili kupeana asante iwe kwa chakula, zawadi au kitu chochote kile, utamaduni wa kushukuru, humfanya mwenza wako kujiona mwenye kukubalika na hilo humpa nguvu ya ziada ya kuthamini kumkubali kwako.
4. Tenganisha maisha ya nyumbani na nje ya nyumba:Hebu kaa na ujikumbushe mara ya mwisho ilipokutokea kwamba ile unafika tu nyumbani, swali la kwanza lilikuwa "fulani ni nani" au kwanini hiki au kile nk?Ikweli ni kwamba, nyumbani kwako ni sehemu ambayo unatakiwa kupata kila unachokihitaji ili kupumzisha kichwa chako. Nyakati kama hizi ambazo maisha yamekuwa yakienda kasi sana huku uhangaikaji ukiwa ni wenye kukwaza wengi wawapo makazini, kitu pekee ambacho mtu unaweza kukihitaji pindi utokapo huko, ni kupokelewa kwa kupewa pole yenye kumaanishwa na mtoaji. Na ikiwa hivi ndivyo inavyotokea, hakika nyumbani panakuwa mahali pekee ambako mwenza wako anapa-miss sana awapo nje, na atapo penda kukimbilia kila apatapo upenyo.
5. Amsha hisia za ukaribu:Unakumbuka enzi zile za upenzi wenu? Ambako kila mlipokaa mlitamani muwe mmeegemezeana mabega yenu? Au mlipokuwa mkahawani kila mtu upande wake, lakini miguu ikawa imegusana chini ya meza ya chakula? Unakumbuka hisia ulizokuwa unazipata kwa nyakati kama hizo? Zirejeshe haraka nyakati hizi. Haitoshi tu kukaa karibu na mwenza wako, bali hakuna ubaya mkigusishana mabega mnapokuwa karibu, au hata kutekenyana kwa vidole vya miguu yenu mnapokuwa mmekaa pande tofauti za meza. Inasaidia kurejesha hisia zenu za wakati mlipokuwa kwenye wakati ulio bora kabisa wa urafiki wenu.
6. Acha u-mimiMimi najua, mimi naweza, nilishasema …. na maneno kama hayo au mambo kama hayo, si mambo sahihi katika maisha ya ndoa. Ndoa ambayo tumeshasema ni muunganiko wa watu wawili, inajumuisha watu wenye akili zenye kufanya kazi karibu sawa sawa, na ndio maana mioyo yao ikakubali kuungana. Kujiona unajua kila kitu, hakuwezi kamwe kukusaidia kuishi katika kiapo cha "ndio nimekubali"
7. Nguvu ya Ninakupenda:Siku hizi maisha yamekuwa kuhangaika pande zote mbili, kwahiyo mara nyingi, watu tunakurupuka kwa pamoja kwenda mihangaikoni. Ila ikiwa nafasi inapatikana, hakikisha unaweka ujumbe wa "Nakupenda" kwa mwenzako kila mahali ambako unaamini itakuwa rahisi kwa yeye kuona. Kwenye kioo cha kuvalia chumbani, kwenye bahasha ya zawadi, au kumtamkia wakati unamuacha au anakuacha kazini kwako.
8. Tafuta ukijani ulionawiri:Ndio, si imeshaainishwa hapo awali kuwa maisha ya ndoa ni raha na karaha? Iwe karaha zitokanazo na mwenzako au zitokanazo na shinikizo la maisha ya nje ya nyumbani, pale unapohisi unahitaji kupata ukijani mpya ndani ya moyo wako, jipe nafasi ya namna hiyo. Kafanye mazoezi, nenda katembelee mbuga, au ndugu na jamaa kwa muda kadhaa. Hii itakufanya upate wasaa mzuri wa kuchambua na kuyarejesha yale yaliyowaunganisha kuliko karaha ndogo ndogo za maisha. Na pale mwenza wako anapohitaji kufanya hivyo, ni vyema kuelewa na kumruhusu pia.
9. Busu:Kumbuka ulivyokuwa ukimbusu zamani na akapata hisia za busu hilo. Rejea kufanya hivyo kila wakati na ukimaanisha hivyo kweli, kwani itaendelea kumfanya akumbuke nyakati zenu za awali mlipokuwa mnaona furaha tu mbele yenu.
10. Kuwa mbunifu:Mtumie ujumbe wa maneno kwa njia ya simu ukimueleza mambo unayoona yatamfanya atabasamu na kuifanya siku yake kuwa nzuri.
akitamani akuone siku nzima.9



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/35fjINV

JUA MAMBO YAFUATAYO KUCHAGUA MKE NA MAHUSIANO USITHUBUTU KUWA NA MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUWA MPENZI.

Image result for elizabeth michael

JUA MAMBO YAFUATAYO KUCHAGUA MKE NA MAHUSIANO
USITHUBUTU KUWA NA MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUWA MPENZI.
1. Muongeaji sana. Yaani yeye hupenda kusikilizwa tuuu hawezi kukupa hata wakati wewe kama mvulana kuzungumza. Na anachokiongea yeye ndiyo kipo sahihi thubutu kumpinga, atakununia na kukasirika pale. Huyu hafai hata.
2. Wa hali ya juu. Huyu msichana anakuwa hana mapenzi ya kweli kama ukiaaanza kumpenda wewe. Nikimaanisaha kwamba wasichana hawa wakipenda wao hupenda kweli lakini ukimpenda wewe inakubidi uwe na maisha sawa na yeye au hata mkiwa wote wa kisure inawezekana asikupende akapenda kukuchunandio maana unaambiwa wanawake wenye pesa huwa hawaolewi kwa kuwa wanaweza wakawa na wewe halafu bado wakakucontrol.
3. Gold digger sina kiswahili sahihi kwa hawa wa aina hii lajini hawa hupenda maisha ya hali ya juu kuwa na gari nzuri nyumba nzuri wasichana wa aina hii hupenda kuwa na wavulana au masuga dad endapo wakikuona wewe ni kapuku
4. Msichana wa club. Wasichana wa klabu si wazuri kwa asilimia nyingi kwa sababu hawawazi kingine zaidi ya starehe na kila mwanaume anamjua huwezi kuwa na msichana ambaye anaenda club halafu asiwe na mwanaume wa kucheza naye kama wewe hutaenda. Usisahau safari moja huanzisha nyingine baada ya kucheza kuna kubadilishana namba kisha kuwa na ukaribu baadaye kutamani kubadilisha ladha halafu usaliti umezaliwa
5. Msichana uliyempata kwa kumpora mwenzio kwa sababu kama aliweza kumsaliti mwenzio kwa kumlaghai fahamu fika kuna mwenye uwezo pia naye akamlaghai akawa naye pia labda useme upo tayari na wewe kusalitiwa na usijisikie vibaya ikiwa hivyo
6 wanaolia lia ovyo. Ingawa msichana ndiye hulia sana kuliko mvulana katika maisha na ndivyo ilivyozoeleka lakini kipindi cha kwanza tu unachoanza kuwa naye unagundua yeye ni mtu wa kulia tu usithubutu kwa sababu atakusumbua sana katika mipango yako hutajua ni chozi lipi la kweli ama anakuibia



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2SF0ZJ0