Thursday, August 1, 2019

ANAOMBA USHAURI; MIAKA 9 KATIKA NDOA,SIMUELEWI MUME WANGU

Kutoka kwa Mdau
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33 mume wangu ana umri wa miaka 41. Sote ni wasomi na wafanyakazi. Tumefunga ndoa miaka tisa iliyopita tuna mtoto mmoja ana umri wa miaka 7.Wakati tunafunga ndoa wote tulikua mabikra. Mimi nilikua sijawahi kuwa na mpenzi na mume wangu akuwahi kua na mpenzi..
Tulianza kushiriki tendo la ndoa siku ile tulipofunga ndoa. Kwa kweli kwa ujumla maisha yetu ya ndoa ni ya furaha kwa mambo yote lakini sio ya kiunyumba.
Mimi na mume wangu atujawahi kuwa mbali kikazi. Maisha yote hadi leo tuko Dar es salaam pamoja. Tulipofunga ndoa miaka ya mwanzoni tulikua tunaweza kukutana kimwili hata mara tatu kwa mwezi, miaka ilivyokua inazidi kwenda ikawa kukutana kimwili inakua mara moja kila baada ya miezi miwili na tukikutana ni bao moja tu.
Sasa hali imezidi kua mbaya kwani sasa imepita miezi sita tunalala kitanda kimoja mume wangu ajanigusa, hali hii inanisononesha kwani natamani mtoto wa pili. Kwakweli atuna ugomvi wowote. Mimi na mume wangu wote ni wacha Mungu.
Mume wangu ni mchapakazi sana tukitoka kazini tuko wote na sio mtu anaependa kwenda kutembea bila familia. Jumamosi na Jumapili mara nyingi tunatoka out tukirudi home akuna kinachoendelea, anageuka ukutani analala kama mtoto hadi asubuhi, wala hata anigusi nikimsogelea hata ashtuki.
Na asubuhi tukiamka tunaenda ofisini na akifika ofisini lazima anitumie message, mke wangu nakupenda sana. Simuelewi na nashindwa kumuuliza maana mimi kama mwanamke naona aibu.
Kwakweli mawazo ya kutoka nje ayapo kabisa kichwani mwangu maana simjui mwanaume mwingine zaidi yake pia namuogopa Mungu siwezi kucheat.Ila kwa hali ilipofikia naona bora nitengane nae niishi maisha yangu maana bila unyumba amna maana ya ndoa na nataka sana mtoto.
Wadau naomba ushauri je hii ni kawaida, nifanyeje.




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2OwnIq8

JIFUNZE HAYA YA MUHIMU

Ukitaka kuwa na mahusiano mazuri na yule unampenda siku zote ni muhimu kujtahidi kumfahamu mwenzi wako upya kila siku kuliko kawaida yako.
Jitahidi kupata ufahamu wa kutosha kuhusu yeye jinsi anavyofikiri, na jinsi anavyotenda.
Vumbua zaidi kwa nini yeye na wewe kuna tofauti na jifunze jinsi ya kutumia hizo tofauti kufanya ndoa au mahusiano kuwa imara na wa kudumu.
Jifunze jinsi ya kufahamu yeye na pia ni namna gani unaweza kukubaliana naye katika jambo lolote, au jambo lolote kuhusu watoto, ndugu zake, mambo ya kanisani au kazini.
Pia fanya kila njia kupata ufahamu wa kutosha kuhusu yeye katika masuala muhimu ambayo mara nyingi huwa chanzo cha mifarakano na kuharibika kwa mahusiano kama vile
Pesa
Jinsi ya kulea watoto
Imani za dini
Tendo la ndoa
Na kila kitu ambacho kwenu ni muhimu sana



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2GDZQKO

MWANAUME UKIWA UNAFANYA HAYA USILALAMIKE MKE/MPENZI AKICHEPUKA

Ikifikia mke kukusaliti kwanza unahitaji kujiuliza kuna tatizo gani mpaka akafikia kukusaliti? Mwanamke anaekupenda sio rahisi kumsaliti ampendae hata akitongozwa na Sharobaro, Mzee Yussuf, Diamond hata Reginal Mengi.
Ikitokea mkeo kakusaliti kuna kitu nyuma ya pazia lako, ingawa wengi wetu tunasema hela na Gari vinawalainisha wanawake. Wengi waliosalitiwa basi hizi ndio kasoro zao:-
1 Kaowa mwanamke wa mtu (mwanamke alikuwa na mpenzi wake lakini jamaa kaingia wakati mwanamke anatamani ndoa)
2 Alikuwa na hela sasa kafulia hana kitu au alijifanya alikuwa na hela lakini baada ya kuowa mke anagutuka mume mchovu.
3 Humtoshelezi kwenye tendo la ndoa( humkojozi) kama umeowa mke ameshawahi kufikishwa kilima cha kilimanjaro pole yako fanya maujuzi umpeleke kilima cha Everest.
4 Ubahili hapa wengi wa wanaume ndio hupigiwa sana wake zao, mke anahitaji matumizi yake binafsi sio kula na kulala tu au kumnunulia madira na chocolate za kichina. kuna matozi wanahonga mpaka malaki na milioni halafu unawacha hela ya ugali unapikiwa pilau ukimaliza kula unakwenda kulala, bwege kama wewe lazima uchapiwe dadeki zako.
5 Huna muda wa maongezi na mkeo hujui hata nini anapenda,nini leo kimemkuta,wala huna future plan kwenye familia wewe ukali,mpira,vijiwe,kazi na marafiki tuu wakati rafiki yako wa kweli(mkeo) huna muda wa maongezi nae.
6 Kuwaachia marafiki kuzoweana sana na shemegi yao, sio kama vibaya kutaniana na shemegi yao lakini kuna mataani mengine hupitiliza. utakuta mpaka baadhi ya rafiki wanampigia simu shemegi yao wanaongea kwa masaa na vicheke kibao.
7 Kujifanya mkali kila wakati wewe uso umeukunja kama ngozi za pumb..u hujulikani kijana au mzee hujulikani leo umefurahi au umenuna. Tokea umuowe mkeo hujawahi kumtania hata siku moja.
8 Kuchepuka kuna baadhi ya wanaume walioowa nishawahi kuwauliza kwanini wanachepuka jibu lao kubwa wanasema hawajui. HUbaki kumalizia kusema eti hawa wanawake watakuwa na sumaku
Kuna baadhi ya mambo husababisha sisi wenyewe wake zetu kufikia kuchukua uamuzi wa kutusaliti, Kama ukali unafanya kazi mbona simba na ukali wake lakini kazungukwa na mabebez kibao




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ZnqVt2

NAMNA YA KUMTAMANISHA MUMEO AU MPENZI KUFANYA MAPENZI

Leo nitatumia fursa hii kuandika machache yatakayomsaidia mwanamke kumfanya mmewe awe active mara nyingi, kumfanya mmeo atamani kufanya mapenzi nawe.
Inakadiriwa kuwa wanawake ndiyo wanaopenda sana kufanya mapenzi kila muda au kila siku kitu ambacho ni tofauti kwa wanaume; hii ni kwa sababu wanaume wengi huwa bize kwa utafutaji wa kipato cha kulisha mkewe na familia, pia kama kuna ugomvi unaoendelea baina yenu, kukua kwa video za ngono mitandaoni na picha ziendanazo na mapenzi, hisia mbaya tu zozote zinamfanya mwanaume asiwe na mshawasho na mkewe, au kama anahisi humheshi, au ulishamuoneshea kuwa alikupata kwa bahati mbaya tuu hii pia itamuumiza na kumfanya akose hamu ya kimapenzi. Lakini kama hakuna tatizo dhidi ya hayo basi litakuwa ni tatizo jingine la kitaalam.
Njia muhimu za kumfanya mwanaume avutiwe kufanya mapenzi mara nyingi ni kama zifuatazo;
KUMBUKA: Kama si ubize wa kazi na matatizo madogomadogo ndiyo yanamnyima hamu (anapata hisia pale tu akiangalia mwanamke mwingine tofauti na wewe, au picha za wanawake wengine) basi hizi si njia sahihi…
NJIA ZA KUFUATA KUMVUTIA MUMEO KUFANYA MAPENZI MARA NYINGI/KILA SIKU.
Mfanye Akufikirie Wewe
Ongea Naye Kimapenzi/Kimahaba
Lala naye Uchi wa mnyama
Mguse guse kichokozi
Muoneshe show yako binafsi
Jirekodi na kamera (Picha au video)
Jiongeze kama kinyonga (badilika)
Usiulize we fanya tu.
Ondokana na Hofu
Mbambatishe abambike
Muombe msamaha/ tubu
Jianike uwazi wako kwake
Mfahamishe wewe ni mzuri
Hizi ni baadhi ya vipengele vitakavyokuwa vikielezewa kwa kina ili kukunufaisha wewe msomaji wetu. Nitaanza kuelezea mada moja moja kwani zimechimbwa kiundani zaidi.




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/31cr6In

ANAOMBA USHAURI; NIMECHANGANIKIWA MKE WANGU NA DADA WA KAZI WANASAGANA

Yamenikuta Mie mwenzenu hata sijui nifanye nini ila kwa kifupi ni kuwa nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama House Girl Wanasagana, Bado sijamwambia mke wangu kwamba najua kwa sababu hata sijui nianzie wapi ..ila ni kwamba juzi asubuhi nilipomaliza kujiandaa kwenda kazini nikatoka ndani ila nilisahau simu hivyo nikarudi kuichukua cha kushangaza nilimkuta mke wangu hayupo chumbani kwetu kwani nilimuacha amelala basi sikujali sana nikajua yupo chooni ila wakati nataka kutoka ndani nikawa nasikia makalele ya mihemeko ya mapenzi kwa mbali hapo ndipo nilipostuka na kunyemelea chumba cha house girl wetu na ambapo sauti zilikuwa zinatokea,
Nilichosikia hata sina hamu ila nikelele za ku do kabisa wakihamasishana wakijua wapo wenyewe ndani ya nyumba…kiufupi kilinishuka nikashindwa nifanye nini …Baada ya muda nilitoka nikaenda zangu kazini bila kufanya chochote huku nafikiria ni kitu gani nakosea mpaka mke wangu haridhiki na dozi yangu??  Isitoshe asubuhi hiyo hiyo nimetoka kumpa kimoja cha haja ….Embu nishaurini nifanye nini Jamani ??




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2K7IqZ3

JIFUNZE JINSI YA KUCHEZEA KISIMI ILI MPENZI WAKO APATE RAHA

Kama mnavyojua asilimia kubwa ya hisia za mwanamke
zipo kwenye kisimi au kinembe kama wengi wanavyoita hii inatokana na baadhi ya mishipa midogo inayotoka kwenye kisimi mpaka kwenye kipele au goroli maarufu
kama G-SPOT.
Katika sekta hii ya kukichezea kisimi na kukisugua mwanaume hutakiwi kuwa na kucha maana kucha zinaleta karaha kwa mwanamke na kuna kipindi unatakiwa uzame ndani kidogo kwenye naniii na kutoka kwa ajili ya kuongeza raha kwa mpenzi
wako, kuna mikao mbali mbali ambayo wewe mwenyewe unaweza kuona itakuwa rahisi na haitakusumbua pale unapokuwa unachezesha mjomba wako juu ya kisimi cha mwanamke kwa hiyo ni wewe kuchagua mkao utakaouona unakufaa na ambao mwanamke hatapata shida.
Muweke mwanamke kwenye kochi huku akisogeza kiuno chake kwa mbele halafu awe kama vile anapanua miguu yake kwa pembeni, au mlaze chali kitandani huku kisogoni ukimwekea mto mwambie aikunje miguu yake kama vile anaipeleka kwenye m*t*t* yake au kwa raha zaidi muongezee na mto chini ya kiuno chake ili kiuno kiinuke vzuri.
Baada ya hapo mshika mjomba wako ukiwa umesimama imara hakikisha unashika kwenye gluvu ya mjomba yaan kwenye shina shika sawa sawa kibaki ni kichwa tu cha mjomba kinaonekana na hakikisha unaanzia chini unapanda juu taratibu na unaweza kufanya hivyo kwa kutumia mkono wa kulia huku mkono mmoja wa kushoto unaweza kuwa unachezea maziwa kama utaweza,
unapanda na kushuka kwenye kisimi kwa speed ya kawaida na kadri unavyoendelea ndo unatakiwa uwe unaongeza speed.
Kwa kuwa atakuwa ameikunja miguu yake kwa hiyo hatakupa shida zaidi ya kusikia raha na unachotakiwa kufanya hapo ni kuzungusha kichwa cha mjomba kwenye kisimi kwa speed ya kawaida mpaka kisimi kianze kutoa majimaji na unaweza kufanya hivyo huku kidole cha kati cha mkono wa kushoto kikiwa ******* ukianza kuyackia maji kwa mbali unaweza kutoa kichwa cha mjomba kwenye kisimi na kumwingiza mjomba kwenye k*** kidogo huku dole
gumba linahamia kwenye kisimi kwa ajili ya kuendelea kukisugua kisimi ila usimweke mjomba kwenye k* kwa mda mrefu weka kama sekunde 40 na unarudi kuzungusha kichwa cha mjomba kwenye kisimi maana hapo na imani atakuwa ameshalowa na ameridhika endapo utafanya kwa ufasaha zaidi.



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2K9Bk6k

SIFA 10 ZA MTU MWENYE MAPENZI YA KWELI KWAKO

Vijana wengi ambao wanapendana leo mapenzi yao hayadumu kiasi cha kubatizwa jina la utamu wa bazoka. Lakini yote hii inatokana na ukweli kwamba elimu ya mapenzi ambayo ni muhimu kwa binadamu haitolewi ipasavyo.
Ipo zana potofu kwamba kumfundisha mtoto mapenzi ni kumharibu, jambo ambalo si kweli bali inategemea mtoto huyo anafundishwa nini na kwa wakati gani. Lakini cha kushangaza zaidi hata watu wazima ambao ni wadau wa mapenzi hawayajui, matokeo yake wanajiingiza kwenye uhusiano wakiwa bumbumbu na hivyo kuteshwa na changamoto zinazowakabili.
Leo tutajifunza kwa undani sifa kumi za mpenzi bora ili tuweze kuwatambua wapenzi wetu kabla ya kuwapa mioyo na utu wetu. Sifa hizo ni hizi zifuatazo.
1.Mpenzi wa kweli ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo atoe msaada.
2. Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe kwa hali zote mbili .
3. Ni yule atayekuwa tayari kukusikiliza kwa kile utakachosema, hatojali umeongea baya au zuri
4.Atakuwa na wewe wakati wa shida na raha. Hatakuwa mtu wa kuvizia vizia na kujisogeza wakati ukiwa na raha.
5. Mpenzi wa kweli atakuheshimu na hatopenda kuwa kikwazo cha maisha yako, atakulinda daima.
6. Atakupenda kwa moyo wake wote na wala si kwa ajili ya shinikizo fulani (pesa au mali)
7. Mpenzi wa kweli ni yule atakayeonyesha kuthamini nafasi yako kama rafiki au mpenzi mbele ya wengine, hafichi hisia zake mbele za watu, atakutetea na kukufanya wa kwanza.
8. Kwenye ukweli mpenzi mzuri atasema bila kukuficha na atapenda kukuonyesha mifano ya namna ya kuwa mkweli na mwaminifu.
9.Mpenzi wa kweli ni yule anayejiamini, asiyeyumba katika maamuzi hata kama atalazimika kufanya maamuzi magumu .
10.Atakuwa tayari kuvumilia, hatakuwa mwepesi wa hasira wala kutumia lugha chafu na ubabe.




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2YD8gfH