Sababu ya tatizo hili huweza kuwaya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii.Jenga tabia ya kufanya mazoezi yamwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyokitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afyabasi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la kuwahi kupizi. Hii hutokana na hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu.
Pumua vizuri na kikamilifu: Kiungochochote cha mwili huhitaji nguvukamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia kupizi mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano.Mshirikishe mwenzako kikamilifu: Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kukojoa haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema 'ngoja' na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo.Pia kabla ya kwenda kuanza tendokwa mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kugegeda basi jitahidi usiwaze hayo mambo chukulia kama ni kitu cha kawaida.Hii ni kwasababu kuongeza concentration ya kuwaza ngono inaongeza stimulation kiasi kwamba ukiomgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya kuingiza.
Pia angalia angalia style zenye kuchochea kukojoa haraka kwa mfano mbuzi kagoma.... etc hii ni ngumu kujizuia kukojoa hasa kwa bao la kwanza maana panakuwepo na constriction ya hali ya juu very tighten kiasi kwamba ukigusa tu tayari ..so ni vizuri style kama hizi zikafuata baada ya bao la kwanza ili uweze ku-enjoy vizuri zaidi.Fanya mazoezi ya kukojoa na kubana mkojo mara kwa mara... hiiina maana kuwa unapokojoa mkojo unaachia then unakatiza unaendelea tena alafu unakatiza tena . Fanya mara tatu kila unapokwenda kukojoa. Hii ni muhimu kwa ajili ya kuongeza strength ya misuli ya uboo na kupunguza relaxation yake ... njia hii imewasaidia wengi na wamepona kabisa
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2PDWo9V
No comments:
Post a Comment