Siku hizi , inaweza kuwa inaonekana kama vile kila ndoa ina furaha sehemu zote unapoona au kuangalia : instagram,Facebook, twitter, au Snapchat, hata ukiangalia mtaani jinsi wanavyotembea.
Lakini kama kuna kitu kimoja kwenye mitandao ya kijamii kosa linaloniambia mimi ni kwamba, hicho sio kila kinachoonekana ya kuwa ndivyo kilivyo.
Hakuna kipande cha muujiza au cha kubahatisha tiketi na kupata pesa katika hii ni ngumu kupata furaha kamwe baada ya hapo” mahusiano. ndoa imara imejengwa na watu wawili ambao wamekubaliana kuiweka katilka kazi, afya, mahusiano yakudumu hayajengwi kwa siku moja. Unatakiwa kuanza na msingi imara pekee, halafu kujengwa ukuta kwa pamoja kuanzia hapo.
Na hapa kuna tabia 14 za wanandoa wenye furaha ya kweli.
1.Kujitegemea.
Ni muhimu kuwa na muda wenye thamani kwa pamoja na kuwa na mahusiano yenye nguvu , lakini ndoa yenye afya huelewa kuwa hawawezi kutegemeana kila mmoja kujaza kila ndoo. watu wa ndoa hii wana shauku na wanakua mmoja mmoja.
2.Mawasiliano.
Wanawake na wanaume huwasiliana kitofauti, ubongo na mawazo yetu ni tofauti kabisa, na tuna uwezo tofauti wa kuelewa mambo, taarifa. Tabia moja ambayo ni nzuri kwa wanandoa ambayo inajulikana , ni ile ambayo inaweza kuwafanya wawasiliane na kuelewana bila ya kufikiria kitu kibaya. kuelewa na kuwajibika iwezavyo.
3.Support.
Couple hii huaminiana kila mmoja.ndoa yenye afya huelewa kwamba ili waweze kusaidika kila mmoja , ni lazima watoe msaada. wanaelewa thamani katika uchaguzi waliofanya kuwa katika mahusiano, na wana maanisha kusaidiana kila siku.
4.Heshima.
Watu wenye mahusiano mazuri, huelewa kuwa hawawezi kuwa wanakubalika na wenzi wao na hio wanaona ni sawa. wanandoa hawa , huhamasishana, huchochea, huinuana kila mmoja, na huheshimiana kila mmoja.
5.Fikra.
Maanani, Kila mtu ana hisia, na hata hivyo zinaweza zisiwe sawa, wote wana haki ya kusikia. ndoa nzuri hutafuta kuelewa na kujifunza undani na ya nje ya kila mtu. wanapokuwa hawashiriki mahitaji, wanatambua na kukubaliana tofauti zao.
6.Matumaini.
Wanandoa hawa huona glass ilio nusu kuwa imejaa. wanaamini katika maneno kuwa lipo jema litakuja, na hufanya juhudi kila siku na kuwa sehemu ya hilo. Ndoa nzuri hushikilia kwamba wana nguvu ya kudhibiti hali yoyote , hawaachi hali mbaya iwatawale wao.
7.Passion: Hamu.
Ndoa nzuri hung’arisha hamu. wana hamu ya kuhusu maisha, mapenzi, na furaha ya kweli. wanandoa hawa hukubaliana thamani ya kila muda na hujali sanaa iliopo. wanaona umuhimu wa kuwepo pale.
8.Urafiki.
Watu walio na mahusiano ya furaha , hufurahiana pamoja kirafiki , haijalishi kuna tatizo gani , hali gani mbaya. wanaweza kutoka kwenda kuangalia movie, kwenda kufurahi na marafiki, kuangalia mpira , kwenda kwenye sherehe, au matukio yeyote wanapopenda.
9.Uaminifu.
Uaminifu umechumwa, hawakupewa, na ndoa yenye afya huelewa kwamba ili wawe na msingi imara ni lazima kuwepo na uaminifu. Wanaamini kuchagua kuwepo katika mahusiano ina maana umechagua kuaminiana kila mmoja. Mpaka hapo mmoja atakapovunja uaminifu, na pale hapatakuwepo na sababu ya kupoteza muda .
10. Ushirikiano.
Mahusiano ni kati ya watu wawili kuwa pamoja na kuunda team ambayo itaongeza thamani katika maisha ya kila mmoja. Ndoa yenye afya huaminiana katka nguvu zao na hujisifia wao kwa wao katika madhaifu yao. husaidiana na kuweka nguvu kazi ya nyumbani.
11.Ukweli.
Wanandoa hawa huelewa umuhimu wa kuwa na mahusiano mazuri na watu wengine katika maisha yao vile vile.: familia, marafiki, wafanyakazi wenzao, n.k. Hata hivyo mwisho wa siku mara zote hujiwekea kipaumbele chao. hawana maswali ya kujiuliza uongo wao uko wapi, na wengine huwaheshimu kwa hilo.
12.Maelewano.
Watu walioko ndani ya ndoa ya furaha hujifunza jinsi ya kufikia katikati ya kitu wanachofikiri wanapenda kukifanya, hivyo tu kwa sababu kinawafanya wawe na furaha ya kirafiki.
13.Shukrani.
Ndoa yenye afya huwa ni Halisi, kweli,kukubalika kwa kila mmoja wao. sio tu kwa sababu wako katika mahusiano lakini ni kwa kila kitu kinachowafanya wao kuwa juu. huchukua muda wa kusema ”Asante” na kukumbushana kuwa wanashukuru kwa kuwa na wengine katika maisha yao.
14.Bahati Nzuri.
Nafsi zote katika mahusiano yenye nguvu, huamka asubuhi na kuchagua bahati nzuri, na kila mtu hupata uthibitisho, ustahilivu, na usalama kati yao wenyewe. wanaona urafiki wao na uwenza wao kama vile ni ongezeko kubwa katika bahati yao nzuri lakini sio chanzo pekee katika hilo.
shirikisha familia na marafiki makala hii .
shirikisha familia na marafiki makala hii .
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2YltAqE
No comments:
Post a Comment